Aseee, ni balaaa.....sema shkuba inaonekana sio mtu wa mitandao....hta picha zake nyingi zilionekana baada ya kukamatwa....ni balaaa alooo.....sasa imagine wale smart dealers ambao hawapo kabisa na mitandao, wao wanaishi tu huko kwny mijengo yao....tena wapo ambao wanasurvive kwa kuwa lowkey kabisa hta hawajulikani shida wakina sie tukizpataaaTiko ni chawa wa Shkuba imagine shkuba anaishije
Lile gorofa kwa bi nyau? Mali si walichukua serkali au zngne waliachiwa za kuanzia maisha wakrudi?Namjuwa,tiko ashanipa sana vifusi pale kwake nyumba njee mbaya ingia ndani sasa
Ova
Jinga weweKama ni kweli Leo aende kanisani ibada ya kwanza akamtolee Mungu shukrani
Mtama mchungu,mluguru aliyevurugwaNdani mule hatari ....
Mzee wang mtama yupo huko migo
Jmn
Ova
Mpaka umetumia jina la huyo mtukutu😂. Nowadays naangalia “Fringe” yupo Alvarez pia.Noma sana mkuu
Manabii wanatajirika kwa ela za mazuzu ya kikristoWaislam wengi wa Magomeni na sehemu zingine Dsm wametajirika kwa kuuza madawa ya kulevya
Jamaa ni dealer wa gold naonagaa anapigaDamon dash ananijuwa vzr sana
Nmewaleaaa wote wale
Ova
Tena mtoto wa AlhajiHata kama yeye sio Mgalatia?
Ndo wajanjaHiyo shughuli nchini Tanzania imeshikwa na dini Moja.
Haha jela wameumbiwa wanadamu siyoNa mi nataka kuuza madawa ya kulevya nipen info ila nami nije nifungwe nataman sana kufungwa kwa kesi ya unga
Are you serious or just you're kidding???????????Na mi nataka kuuza madawa ya kulevya nipen info ila nami nije nifungwe nataman sana kufungwa kwa kesi ya unga
Hahahaaaa namkubali sana huyo MwanaMpaka umetumia jina la huyo mtukutu😂. Nowadays naangalia “Fringe” yupo Alvarez pia.
serious bro kama kunasehem wanaitaji vijana wa kazi hizo niconect tena nitakuwa bonge moja la mfanyakazAre you serious or just you're kidding???????????
tena nikafungwe kule colombia kwa hapa bongo sijaona gereza la kufungwa mimi coz hazina mateso nakumbuka nilitekwagwa na wahasi kule kwa kina kabila aisee wale kidogo wanajua kutesa unachimbiwa shimo alafu unafukiwa unaachwa kichwa tu hadi asubuh lakin nilistay huko miaka miwiliHaha jela wameumbiwa wanadamu siyo
Jamaa ni dealer wa gold naonagaa anapiga
Manabii wanatajirika kwa ela za mazuzu ya kikristo
serious bro kama kunasehem wanaitaji vijana wa kazi hizo niconect tena nitakuwa bonge moja la mfanyakaz
Wenzetu ushahidi unakuwa upo mezani tayariWenzetu Kesi ya watuhumiwa 11 inasikilizwa siku mbili tu na kutia watu Hatiani.
Mahakama za kina Jaji Ibrahimu wangesikikiliza kwa miaka 6.
Uvivu ni adui wa maendeleo.