Dola inapoteza nguvu na tutashindwa simamia vikwazo ndani ya miaka mitano-Rubio

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
12,959
Reaction score
15,885
Waziri wa Marekani Mark Rubio ameonya dola ya marekani kupoteza nguvu baada ya nchi nyingi kutafuta mbadala wa dola
Kuna taarifa kadhaa za nchi husika kufanya biashara kwa sarafu zao badala ya dola ya Marekani

Rubio anaendelea kuonya,baada ya miaka mitano marekani itashindwa kusimamia vikwazo iwekavyo kwa mataifa mbalimbali
EU juzi walikua na majadiliano na china, waziri mkuu UK alienda china, waziri mkuu Canada alienda china, mataifa yote haya yakiamua kufanya biashara na china kutumia sarafu zao,dola chali
 
Attachments

  • IMG_20260211_205954.jpg
    IMG_20260211_205954.jpg
    138.7 KB · Views: 5
Waziri wa Marekani Mark Rubio ameonya dola ya marekani kupoteza nguvu baada ya nchi nyingi kutafuta mbadala wa dola
Kuna taarifa kadhaa za nchi husika kufanya biashara kwa sarafu zao badala ya dola ya Marekani

Rubio anaendelea kuonya,baada ya miaka mitano marekani itashindwa kusimamia vikwazo iwekavyo kwa mataifa mbalimbali
EU juzi walikua na majadiliano na china, waziri mkuu UK alienda china, waziri mkuu Canada alienda china, mataifa yote haya yakiamua kufanya biashara na china kutumia sarafu zao,dola chali
CCM wanapenda sana vijitu viazi kama nyie. Imagine, kama wewe ndio wanakutegemea kuwatetea.

Sasa ona hii stori yako...

Yawezeimkana stori ni ya kweli, ila sasa source unaitoa kwa matapeli wa CRYPTO.
 
Umenadi ujinga wako tu hapa,ungejiridhisha kwanza ukweli wa story toka vyanzo unavyoviamini kisha ukaleta ujuaji wako
Story imeandikwa na wengi,nimeamua kuweka crypto kama source,shida nini!?
 
Back
Top Bottom