Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

Moja ya njia za kukuza uchumi ni kuzalisha bidhaa za ndani na uuzaji katika masoko ya ndani na nje. Sasa kama hatuna bidhaa tunazouza zaidi ya kuagiza na kutumia uchumi kupanda ni ndoto.
Msisitizo uwe kuuza bidhaa zilizoongezwa thamani kwa maana ya value addition na sio kusistiza tu kulima na kuuza kama malighafi.
 
Unaweza ukawa umesoma,lakini katika masuala ya uchumi na fedha ni kilaza sana.naomba usiendelee kuchangia Uzi huu hujui lolote.

Ndo siasa zao hizo, mtu anaongelea utalii wakati umetekwa nyara na kina Nyarandu, serikali imekumbatia majangili utalii utasaidia nini? wana macho lakin wamepofushwa na siasa za chama zisizo na maana yoyote
 
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi

Mafuta yamefika 1700 kutoka 840 mwaka 2005. Nyama imefika kilo 6000 toka 1800 mwaka 2005 sukar na mchele tola 650 /700 mpaka 2000/2500 maharage mboga ya wanyonge toka 240 mpaka 1500/ yaan hii serikali haina hata huruma mishahara inakopa mifuko ya wastaafu haina pesa TRA kwa mwezi wanakusanya bilion 800/
 
Wakati huo mtu mmoja tu anagawa mabilioni ya hela kama njugu na serikali inasema hakuna shida maana sio hela ya umma
 
Wakulima wa Korosho huko Tanga wamekatazwa kuuza korosho nje mpaka wapewe kibal na bodi ya Korosho-East Afrika redio jana
tujiulize kwenye kulima waliwapa vibali?

Kwanza kumbuka, kutakiwa uwe na kibali cha kusafirisha korosho nje haina maana umekatazwa kuuza nje. Usiwe punguani.

Mmeshasahau? Wauzaji wa korosho walivyokuwa wanaumizwa sana.

Kuhusu vibali vya mazao aina fulani kutolewa si kituko Tanzania kuamua hivyo, kuna sababu muhimu na nzuri sana. Nchi nyingi duniani zinafanya hivyo, mfano wa hapa jirani zetu, nenda Comoro kasafirishe Vanilla ujionee. Au nenda Zanzibar kasafirishe karafuu.

Isitoshe, hakuna nchi duniani ambapo unasafirisha tu mazao nje kiholela bila kibali, afadhali ya kwetu hapa kuna mazao unasafrisha bila kibali chochote, thubutu nchi nyingine uganye hivyo. Leo unaweza kwenda Muheza msimu wa machungwa unanunua machungwa yako unayapeleka Kenya hauulizwi chochote. Jaribu nchi nyingine ujionee.

Hivi hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga?
 
hivi nch hii tunaye gavana wa benk kuu? Rais anashtuka kuhusu hili? FaizaFoxy huwa unatetea mengi ya hii serikali, kama upo karibu nao waambie ebu wang'ate masikio hao majuha!
He unategemea nin kwa gavana ambaye anakuambia hela ikiwa inatoa rangi ndio original, unategemea jipya kwa mtu kama huyo ?
 
Last edited by a moderator:
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi

"Dhamani " = thamani
 
mkuu hawa hawajui kuwa dolla ndo inayosababisha bidhaa kupanda , ndoo hawa hawa wanaandamana kutetea palestina wakati bongo watu wanajichotea mabilioni wapo kimya

ili uwe muumin mzuri lazima uwe gaidi,jingajinga hivi,hapo peponi unafika kwa raha zote.
 
exactly mkuu...that z the very good way we can be giant and stable ecomy..kama ni viwand tufufue tuzalishe world standard goods tu export ..af tuone kam tutalialia hap dola kupanda..
wewe kilaza hatua ya haraka ya kuzuia dollar ispande yani kuirudisha ilipokuwa 1600 au 1500 ndio hiyoo??

hivyo viwanda nyinyi ccm mlikuwa hamjui ni kosa kuviua?? pumbaf
 
Tanzanite
Dhahabu
Almasi
Madini mengine
Utalii
Mali asili ya misitu
Bandari
 
Kwanza kumbuka, kutakiwa uwe na kibali cha kusafirisha korosho nje haina maana umekatazwa kuuza nje. Usiwe punguani.

Mmeshasahau? Wauzaji wa korosho walivyokuwa wanaumizwa sana.

Kuhusu vibali vya mazao aina fulani kutolewa si kituko Tanzania kuamua hivyo, kuna sababu muhimu na nzuri sana. Nchi nyingi duniani zinafanya hivyo, mfano wa hapa jirani zetu, nenda Comoro kasafirishe Vanilla ujionee. Au nenda Zanzibar kasafirishe karafuu.

Isitoshe, hakuna nchi duniani ambapo unasafirisha tu mazao nje kiholela bila kibali, afadhali ya kwetu hapa kuna mazao unasafrisha bila kibali chochote, thubutu nchi nyingine uganye hivyo. Leo unaweza kwenda Muheza msimu wa machungwa unanunua machungwa yako unayapeleka Kenya hauulizwi chochote. Jaribu nchi nyingine ujionee.

Hivi hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga?

Wewe si ni diaspora? hivi unajua kinachoendelea katika nchi hii? au unaongea kwa vile una mahaba na tabaka
tawala? ubinafsi ndo chanzo kikubwa cha comments kama za kwako.
 
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi
Mahitaji ya USD yamekuwa makubwa sana,hivyo uhitaji wa dola umepanda maradufu kulinganisha na wao au watu wanavyohitaji shilingi,chakusukitisha mahitaji mengine ya dollar nchini haya faida na serikali matokeo yake ni kuendelea kuididimiza shilingi,leo nimetoka hospital inaitwa PRIMIER CARE,malipo yote yanafanyika kwa USD na kama huna wanakupa exchange rate,Leo nimepewa rate ya USD kwa Sh. ni 1800....,mahotelini pia hivyo hivyo,sasa uhitaji wa sh unaongezekaje hapa.....sawa makampuni yanayumia pesa nyingi kuagiza vifaa na mitambo kwa dolar,lakini pia mazao mengi ya biashara kipindi cha mwalimu kama,kahawa,katani,chai,pamba hayauzwi tena kwa wingi nje ya nchi kama zamani,kumbuka kipindi cha mwalimu tulikuwa hatununui nje vitu vingi kama,toothpaste,margarines,clothes,agricultural pestsides and equipments,cooking oil,....jst imagine now tunaagiza vitu hivyo vyote nje....achilia mbali..mawigi..yeboyebo...na uchafu mwingine wa mitumba....viongozi hawako serious!...upuuzi mtupu,kuna haja gani yakuwa na shilling wakati tumeiacha dolla izurure mtaani...hatuwajali wakulima...tunaacha milango wazi kama wapuuzi hamna hata kiwanda kimoja vyote tuimeua..matairi tunaagiza,ceillings tunaagiza kila kitu!..inasikitisha saana!
 
Wewe si ni diaspora? hivi unajua kinachoendelea katika nchi hii? au unaongea kwa vile una mahaba na tabaka
tawala? ubinafsi ndo chanzo kikubwa cha comments kama za kwako.

Nikiwa diaspora ndio inahusu nini zaidi? Au una usongo tu na diaspora?

Naijuwa hii nchi kabla haijawa Tanzania. Wewe Jee?
 
Nikiwa diaspora ndio inahusu nini zaidi? Au una usongo tu na diaspora?

Naijuwa hii nchi kabla haijawa Tanzania. Wewe Jee?

Kuijua nchi hii ndo unatuambia dola iendelee kupanda tuchukue fursa kuexport mazao?
Kufufua viwanda vilivyokufa katika hal hii?
Nchi ambayo kila tunachotumia kwa sasa kinatoka nje unaona sawa dola kupanda?
Umeangalia upande mmoja wa fursa za kuexport. Mnaanzaje kujipanga wakat kila kitu bei juu?
Mtakavyozalisha atanunua nan huko nje kwa hii hali??
Usidanganye watu bwana chukulia mfano cement ya twiga ya tegeta tutauza nchi gan??
Hapa tu bei juu cement znatoka nje bei zko chin kuliko cye. Upeleke nje cement zetu ukutane na ruzuk za serikal zao tutauza nin???
Me nafkir ni busara kuzibit dola kwanza tujipange then ndo turuhus ipande ili kutupa hzo faida unazosema ila cyo sasa. Achen kukariri.
Tushukuru tu watanzania zaid ya asilimia 90 tunamaisha ya uongo ndo mana cyo price sensitive. Hii yote kwasababu ya rushwa. Top cleam layer ingekuwa inaish kutegemea mishahara haya yote yacngetokea
 
Tanzanite
Dhahabu
Almasi
Madini mengine
Utalii
Mali asili ya misitu
Bandari

Muheshimiwa General Paul Kagame alisema, kama angelikua na bandari moja tu kama ya dar, elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu
 
Back
Top Bottom