Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

Hiyo ni habari njema sana kwangu!
Mkuu una dola kibao nini ?ziweke tu hadi ifikie TZS 3000 kwa USD$1 ,itafika muda si mrefu,ngoja niondoke nikabebe box nikirudi sirudi na hata simu mi ni kirudi na pesa ya Obama tu.Kwa hali hii nitanunua sana mapagale Mtogole
 
Ukienda kariakoo frem zinapangishwa kwa dollar,shule had za nasari wanataka ada kwa dollar..BoT na wizara WAsipodhibit huu utumiaj holela wa dollar,tutalalamika na dollar itakipepea kila sku...
 
Hii inastaajabisha sana lakini ni ukweli. Nchi hohehahe kama Somalia currency yake ina thamani kubwa ukilinganisha na shilingi yetu!!!! Maskini nchi yetu!!!

1US dollar = 705 Somali shillings.
Ndio ..... Somali shilling mia saba na ushee tu.
Shilingi ya Bongo haina thamani mbele ya pesa ya Somalia, nchi isiyo na serikali. Ajabu na kweli!!
 
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi

mkuu hadi kuja kufikia mwezi wa 6 mwaka huu naamini dola itakuwa 2500/=.
ukiuliza unaambiwa nchi bado inakopesheka
 
Sidhani kama le professor anajua hata some of economic theories, achilia mbali kudiscuss kuhusu kushuka thamani kwa pesa zetu za madafu...ye anachojua inapanda na kushuka automatically
 
1US dollar = 705 Somali shillings.
Ndio ..... Somali shilling mia saba na ushee tu.
Shilingi ya Bongo haina thamani mbele ya pesa ya Somalia, nchi isiyo na serikali. Ajabu na kweli!!

Ya kweli haya?? hata somalia???
 
hivi nch hii tunaye gavana wa benk kuu? Rais anashtuka kuhusu hili? FaizaFoxy huwa unatetea mengi ya hii serikali, kama upo karibu nao waambie ebu wang'ate masikio hao majuha!
 
Last edited by a moderator:
Seriously?

Ama kweli Marekani iko juuuuuuuuuuuuuuuuu!!
Nasikia inawauma sana republican dollar kupaa na kuwa na nguvu pamoja na mafuta kushuka. Wamebaki kung'aka kwenye media fungua yahoo news uhone wanavyohaha wanaomba hii miaka miwili ijayo pipa la mafuta ifike 200$ hii yote chuki dhid ya obama. Kweli Kwa sasa marekan ipo juu
 
Uchumi wa bongo hupo hupo tu dollar ipande ama ishuke hamna impact ama athar yeyote. Watu wanaish kimungumungu tu. Ni nchi yenye Watu wa ajab sana ambayo haina haja ya kuwepo na serekali isonge yani hamna haja iyo serekali Ni jina tu. Nyambaff zetu
 
Watanzania badala ya kuiona fursa hii mkasafirisha mazao na bidhaa nje mnaona ni kituko, amma kweli Tanzania kuna mambo.
 
Watanzania badala ya kuiona fursa hii mkasafirisha mazao na bidhaa nje mnaona ni kituko, amma kweli Tanzania kuna mambo.

Kwahiyo unaona ni sawa shilingi kuporomoka sio?
Cc Fx Trader
 
Last edited by a moderator:
Seriously?

Ama kweli Marekani iko juuuuuuuuuuuuuuuuu!!j


mkuu tumeongez san unnecessary demands ya dollar kwa kuitumia hovyo ata pasipostaili....the more we demand dollar the more it became stronger against Tsh....kuna vitu viwil apa inabid wizara ichukue hatua
1..Kupunguza matumiz ya dollar kwa transactions za ndan ya nchi..
2..kuongeza export sambamba na kupunguz import hasa ya bidhaa ambazo tuweza kuzipata hapa tz...thats the only way we can away frm this mysterius economy
 
Back
Top Bottom