Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,614
- 59,736
Nilitaka niagize kagari used from Japan nimeamua kuahirisha kwanza bajeni niliyo panga haiwezekani tena ilikua kwa dola 1700 makadirio ya juu.
Ungeweka $ leo ungechekelea
Nilitaka niagize kagari used from Japan nimeamua kuahirisha kwanza bajeni niliyo panga haiwezekani tena ilikua kwa dola 1700 makadirio ya juu.
Wachumi hapa watusaidie kidogo, pesa ya nchi kuwa na thamani ndogo dhidi ya dola ndo maana yake uchumi wake ni mdogo kuliko nchi yenye thamani kubwa dhidi ya dola.1US dollar = 705 Somali shillings.
Ndio ..... Somali shilling mia saba na ushee tu.
Shilingi ya Bongo haina thamani mbele ya pesa ya Somalia, nchi isiyo na serikali. Ajabu na kweli!!
Hii inastaajabisha sana lakini ni ukweli. Nchi hohehahe kama Somalia currency yake ina thamani kubwa ukilinganisha na shilingi yetu!!!! Maskini nchi yetu!!!
Kweli hilo mkuu tatizo kodi haikusanywi lakini somalia wanahakikisha mifugo yote wanaopeleka uarabuni inalipiwa na bidhaa zote zinazoingia ukusanyaji ni wa kweli bila rushwa wala kuiba
Wachumi hapa watusaidie kidogo, pesa ya nchi kuwa na thamani ndogo dhidi ya dola ndo maana yake uchumi wake ni mdogo kuliko nchi yenye thamani kubwa dhidi ya dola.
Kama ndiyo mbona nchi kama korea ya kusini inabadilishwa haizidi sana shilingi ya tanzania ila wako vizuri sana kiuchumi?
Mkuu pesa yako kuwa na thaman kubwa haimaanish saana kama uchum wako uko vizur.
Nchi kuna nchi inashusha thaman ya fedha zao makusud ili kuongeza pato lao.
Mfano china. Kwa sasa ni nchi inayoongoza kwa kuuza bidhaa nje ya nchi lakin pesa yao thaman yake ni ya chini saana. Cyo thaman halisi ukilinganisha na mahitaj ya pesa ya uchina. Na hili jambo nchi nying zilizoendelea zmekuwa zikilipigia kelele.
Faida ya kufanya hivi ni kama una uwezo wa kuuza bidhaa zilizokamilika nje. Kama unaviwanda vingi ukishusha pesa yako thaman raia wa ndan watashindwa kununua vitu toka nje kwakua bei yake itakuwa ya juu sana. Hivyo watanunua vya humo ndan. Pia wafanyabiashara wa nje watapata vitu vyako vingi saana kwa bei ya chin kwakua dola itakuwa na thaman. Ndo maana leo bidhaa ya mchina marekan ni bei rahisi ukilinganisha na bidhaa zao wamarekan ingawa ubora ni ule ule.
Hivyo utakuwa umeongeza manunuzi kwa bidhaa zako ndan na nje ya nchi.
Lakini kwa nchi isiyozalisha, nchi inayotegemea matumiz yake mengi saana kutoka nje kesi huwa ni tofaut. Mfano tanzania. Dola ikiendelea kupanda itakuja kuwa shida saana maana hamna tunachozalisha kikiwa kama bidhaa ya mtumiaji ( consumer goods). Hivyo pesa ikishuka thaman itatulazimu kuendelea kuingiza bidhaa kwa bei ya juu maana hatuna mbadala. Maisha yatapanda unafuu kwa maisha utakosekana mwisho ni machafuko. Kama unayoyasikia panya road na mbwa mwitu na kadhalika. Hayo ni makund yaliyoteseka na njaa sasa yamefika hatua ya kutaman walionacho.
Pole kwa kutokua mzoefu wa kuandika vizuri ila nadhan kwa machache utakuwa umenielewa.

Watanzania badala ya kuiona fursa hii mkasafirisha mazao na bidhaa nje mnaona ni kituko, amma kweli Tanzania kuna mambo.