Watanzania ni watu wa kukalili vitu na sio kufikiria vitu vipya.hiyo theory ya kuexport ili kupata dola haiwezi kusaidia kwa muda huu ambapo viwanda vya ndani vimeshakufa.
Wewe unatatizo lipi ikiporomoka? kwanini hauchukuwi fursa ukaua bidhaa kwa wingi, ukaleta watalii kwa wingi? Ikipanda wewe una faida ipi?
Ukaua= ukanunua!!!
Ona sasa kutetea uovu wa nchi unavyo kuangusha, hata kuandika unasahau!!
Unaweza ukawa umesoma,lakini katika masuala ya uchumi na fedha ni kilaza sana.naomba usiendelee kuchangia Uzi huu hujui lolote.
= kukariri
Kama vimekufa ni vile vya Nyerere alivyovijenga na alivyovidhulumu (taifisha) aliyefunguwa viwanda bila kuwa na ma industrialist. Mammbo mengine ya kustajaabisha sana.
Kwanini leo hii usifunguwe kiwanda? ukaitumia fursa hii? hata cha pipi tu usafirishe nje.
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi
Hizi idea za kuexport ili kupata dola ili kupata dola from outside imeandikwa kwenye vitabu vyote vya economics na finance na karibu nchi zote duniani wanatumia na ninaamini hata wanauchumi wetu kuanzia wale wa wizara ya fedha,wa BOT na hata wale wa kamati ya bunge wanalijua hili.ndio maana nikasema tuache kukariri,jf kama great thinkers other alternatives.
Huyu ff analeta ushabiki wake wa uccm hadi kwenye mambo ya msingi, huyo siyo kama hajui anajua ila ccm imemuathiri.
Hapo anaona sawa tu shilingi kushuka
Mawazo yako kwenye kuchukua fomu ya uraisi na kuzurura mikoani kupiga siasa za maji taka
Watanzania ni watu wa kukalili vitu na sio kufikiria vitu vipya.hiyo theory ya kuexport ili kupata dola haiwezi kusaidia kwa muda huu ambapo viwanda vya ndani vimeshakufa.
No alternative, simply work hard and export hard.
utalii unahitaji miundombnu. hotel nzuri, barabara nzuri ,ulinzi, migahawa usafiri nk. unafikiri watalii wanapenda miji depressive kama Arusha na Dar?.3.kuutangaza utalii
Kiukweli Tanzania hatujawa serious kutangaza utalii wetu,tunakwepa gharama kuutangaza.
Waafrika wengi wanalaani kwamba vyombo vya habari vya magharibi vinatangaza vitu vibaya vya Africa kama maradhi,vita,umaskini na mauaji lakini sio mazuri ya Africa .
Huu ni ukweli wanakosea kwa upande wetu,lakini kwa upande Wa kwao wapo sawa maana nia ni Ku discourage watalii wasije Africa hizo hela zao zibaki ulaya na marekani.
Kwahiyo na sisi tunajukumu la kuanza kujitangaza kwa nguvu sana ili tuweze kuvuna hizi dola zao
Watanzania badala ya kuiona fursa hii mkasafirisha mazao na bidhaa nje mnaona ni kituko, amma kweli Tanzania kuna mambo.
serikali yako inatukataza kuuza mazao nje ili inunue kwa kutukopa na mengine yatuozee.