Dini yetu haiangalii watu na ndio maana Wanazuoni wote wa Saudia wanasema mpira haramu.Muislam wa Kilwa masoko anasema mpira ni haramu ila Saudia Arabia wenye Macca na Madina yao wana ligi ya mpira kabisa π
Mbinguni kwanza kuna nini ? Nani alisema watu wanaenda mbinguni ? Aisee vijana mnakuwa vilaza sana.Makobaz mmeanza vitisho
Hv mlisema mwanaume akifika mbinguni anapewa zawadi gani vile?
Moja ya kitu sikubaliani nacho ni hiki kutisha watu siku ya hukumu.unabwabwaja tu mzee msome huyo unaesema ndo mungu wako yesu vzr kisha ukuje kwanza ye mwenyew atawakataa siku ya hukumu
Mnafikiri Uislamu ndio kama ukafiri wenu ambao ni WA watu fulani kuanzia mavazi mpaka vyeo ? Kwanini hapajawahi kuwa na papa Muafrika yaani mtu mweusi ?We ndio una uchungu sana na uislam? Labda kama we ni mwarabu hapo sawa, ila kama we ni mmatumbi ujue unatetea kitu usichokijua. Uislam una wenyewe, sio wewe mmatumbi wa madongokuinama
Kwahiyo kama Ukristo ni upotevu tusiwaambie ? Hili halibadilishi chochote hata tukikaa kimya.Wa kwanza ni wa kwanza tu.
Heshima iwepo.
Wakristo hatuna shida na Waislam.
Na tunawaheshimu.
Shida na chokochoko huwa wanaanza wao kwa kuona Wakristo wamepotea.
Na kwamba wao ndio dini sahihi.
Kitu ambacho sio kweli na hakuna mkristo atakubali.
Ni kweli kama ulivyosema.
Busara ni wao wanyamaze .
Na Hakutakuwa na nywi nywi nywi.
Kijana usijifariji, tamko ukafiri ni tamko maalumu kwa wale wote wanao ukataa Uislamu.Spana ya kwanza ni nyie makafiri kuikataa Biblia kua ni fake na bado mkiitumia hiyo hiyo fake kujenga hoja zenu za kwenye Quran mfano ni comment yako hapo juu umeqote injili ya Yohana 16:7 Yesu anasema ataondoka na kuacha msaidizi amabaye ni roho Mtakatifu na hapo lengo lako useme huyo msaidizi ni Muhammad Hahaha mnahangaika nyie!
π π
Papa mweusi wamewahi kuwepo. Hivyo hii hoja yako si ya kweliMnafikiri Uislamu ndio kama ukafiri wenu ambao ni WA watu fulani kuanzia mavazi mpaka vyeo ? Kwanini hapajawahi kuwa na papa Muafrika yaani mtu mweusi ?
Au kwanini viongozi wenu kwenye I ada wanavaa mavazi tofauti na waumini ? Halafu bado hapo mnadai Kuna dini au Kuna Imani ?
Akili hamna, halafu mnakuja kuwazulia Waislamu ambao mavazi ya Mwanachuoni ni hayo hayo ambayo wewe raia unavaa bali wanawazuoni weusi wako wengi. Halafu unadai Uislamu una wenyewe ?
Kama jibu ni hivyo kinyume chake ni sahihi. Je wanakemea waumini wake kutovaa mavazi ya heshima ?Nimekuambia, hakuna dini hata moja ambayo nimewahi kusikia kuwa inahamasisha waumini wake wavae mavazi yasiyo ya heshima. Kama ipo, niambie ni ipi.
Uislam hautegemei wasaudia? Mkuu kwani Quran iliandikwa na nani?Dini yetu haiangalii watu na ndio maana Wanazuoni wote wa Saudia wanasema mpira haramu.
Shida hamna akili, mara ngapi watu wanajua kitu fulani ni dhambi na wanakifanya ?
Mmekuwa na chuki dhidi ya Waislamu mpaka mmekuwa wajinga.
Nani asiyejua ya kuwa wizi au uzinifu ni jambo baya, na watu wanafanya ?
Dini yetu sisi haiwategemei Wasaudia, wala waarabu wowote, Bali dini yetu sisi ni Qur'an, Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
Wanawake wanaovaa vibaya huwa wanarudishwa.Kama jibu ni hivyo kinyume chake ni sahihi. Je wanakemea waumini wake kutovaa mavazi ya heshima ?
Kama wanakemea wanachukua hatua gani pindi waumini wake wakienda nusu uchi ?
Shida dini yenu ina mapungufu mengi sana, haielezei stara ya Mwanamke ikoje wala stara ya mwanaume ikoje.
Maana yake unakubali ya kuwa kuleta uhusiano wa Uislamu ma waarabu mnakosea au mpoa sahihi ? Maana mnadai Uislamu una una wenyewe.Wanawake wanaovaa vibaya huwa wanarudishwa.
Mkuu uislam huwa hautambui maulid, lakini kwa nn wapo mamilion ya waislam bado husheherekea maulid na kufanya ibada ya maulid? Hii maana yake uislam una mapungufu?
Huwa mnasema qaswida ni Haram, mbona bado zinafanyika? Hamzipigi marufuku?
Mkuu unawezaje kutenganisha uhusiano wa uislamu na uarabu? Msingi wa uislam ni Quran, Quran iliandikwa na nani?Maana yake unakubali ya kuwa kuleta uhusiano wa Uislamu ma waarabu mnakosea au mpoa sahihi ? Maana mnadai Uislamu una una wenyewe.
Ushawahi kuona Wanawake wa Kiislamu wanaenda uchi hata hao wanaosehrehekea maulidi ? Jibu ni hapana.
Unalo andiko lolote ambalo linaelezea mavazi ya Mwanamke yanatakiwa yawe vipi kwenye Ukristo na mavazi ya wanaume yanatakiwa yawe vipi ?
Ama kuhusu Maulidi, na Qasida kwetu sisi hakuna andiko hata Moja linalohimiza watu wafanye maulidi au waimbe Qaswida. Hivi ni vitu viwili tofauti.
Wanaendelea nazo kwenye ibada gani ? Niambie hizo ibada ni zipi ? Usichanganye mambo.Swali langu lilikua ikiwa maulid na Qaswida ni Haram, kwa nn bado mnaendelea nazo huko kwenye ibada?
Kuna uarabu na waarabu, elewa maneno yupo mwenzako alisema alisema Uislamu una wenyewe kwa maana Uislamu wa Waarabu.Mkuu unawezaje kutenganisha uhusiano wa uislamu na uarabu? Msingi wa uislam ni Quran, Quran iliandikwa na nani?
Wao walioanika Quran unawezaje kujitenganisha na kile walichokiandika?
Mnaendelea kusheherekea sikukuu ya maulid na huwa mnafanya ibada. Hapa hujaelewa kipi?Wanaendelea nazo kwenye ibada gani ? Niambie hizo ibada ni zipi ? Usichanganye mambo.
Kuna uarabu na waarabu, elewa maneno yupo mwenzako alisema alisema Uislamu una wenyewe kwa maana Uislamu wa Waarabu.
jamaa ni lijinga sn ww, hujui mavaz ya kanzu, ijabu nk ni utamaduni wa middle east na wala ahusiani na dini ya uislam na utambue wny dini yao waarabu walileta dini yao wakaleta na tamaduni zao ndani ya dini, hujui hata wakristo na wasio na dini huko middle east wanavaa mavazi yanayofanana wote kataa sasa, wayahudi wanavaa kanzu toka enzi na enzi na si waislam sbb huo ni utamaduni wa huko hauna cha dini, msengerema wewe, ni kheri niwe shetani kuliko kuwa muislam dini ya harakati za ksiasa.Mnafikiri Uislamu ndio kama ukafiri wenu ambao ni WA watu fulani kuanzia mavazi mpaka vyeo ? Kwanini hapajawahi kuwa na papa Muafrika yaani mtu mweusi ?
Au kwanini viongozi wenu kwenye I ada wanavaa mavazi tofauti na waumini ? Halafu bado hapo mnadai Kuna dini au Kuna Imani ?
Akili hamna, halafu mnakuja kuwazulia Waislamu ambao mavazi ya Mwanachuoni ni hayo hayo ambayo wewe raia unavaa bali wanawazuoni weusi wako wengi. Halafu unadai Uislamu una wenyewe ?
fala wa macca wewe kama unajua dini ni daftari lenu kuran ni kwann mnahusisha mambo ya papa sjui ushoga na ukristo wkt BIBLI KITABU KITAKATIFU hakuna sura wala neno lolote linalounga mkono ushoga kama lipo lete hapa, sa kama mtu kaamua kuwa choko mwnyw vinahusiana vp na ukristo. Nipo tyr mimi ndiye niwe shetani na shetani asamehewe kuliko kuwa muislam.Dini yetu haiangalii watu na ndio maana Wanazuoni wote wa Saudia wanasema mpira haramu.
Shida hamna akili, mara ngapi watu wanajua kitu fulani ni dhambi na wanakifanya ?
Mmekuwa na chuki dhidi ya Waislamu mpaka mmekuwa wajinga.
Nani asiyejua ya kuwa wizi au uzinifu ni jambo baya, na watu wanafanya ?
Dini yetu sisi haiwategemei Wasaudia, wala waarabu wowote, Bali dini yetu sisi ni Qur'an, Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
Kwahiyo kama Ukristo ni upotevu tusiwaambie ? Hili halibadilishi chochote hata tukikaa kimya.
Ukristo ni UKAFIRI na ni UPOTEVU, akubali atakaye kubali na achukiye atakaye chukia.
Mnaendelea kusheherekea sikukuu ya maulid na huwa mnafanya ibada. Hapa hujaelewa kipi?
Huyo aliyesema uislam una wenyewe, alikosea. Mm nimejibu kile wewe ulichoandika maana ulitaka kuutenga uislam na uarabu, ndio maana nikakumbusha utautenga vipi uoslam n uarabu ikiwa waarabu ndio walioandika Quran