Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

Unajichanganya mwenyewe yani mpaka mwaka anaweza akawa na hiyo 40 milioni, umeongea as if anapewa yote milion 60 kwamba anatenga 20 ya matumizi inayobaki 40m aweke kwenye uwekezaji, unajua kuongea ni rahisi sana, yeye analipwa kwa mwezi mzee, na pia tumeona awamu hii kampuni nyingi zinavyofungwa sababu ya kodi je unadhani hiyo kampuni mara ghafla ikafungwa tena ataenda wapi, sio uwoga ila Watanzania wengine tuna akili zaidi ya wewe ulivyowaza, ni vyema uwe mwangalifu kuliko tamaa
Ww huna akili hiyo ww ni mmojawapo watu waoga. Kama mtu una akili timamu ukijiwekea lengo lako na ukijituma kwa bidii lazima ubutuwe ukiona hivyo ww huna matumizi mazuri ya fedha.
 
Mtu anakataa mshahara wa milion 5 anasubiri ongezeko la mshahara magufuli akiongeza 30,000 baada ya miaka mitano.

Kama unajijua huna roho ngumu usije kitaa utakufa. Huku tunapaweza wagumu Endeleeni kusubiri mishahara ya magufuli
 
Majuzi kuna dogo mmoja kakopa 12 million kaenda kununua mazao (mpunga) kwa bei ya shamba gunia by then 50, 000 mpaka 55,000. Sasa hivi bei ya mpunga imebaki 50,000 hapo bado gharama zake alizotumua kuishi shamba, kununua mifuko, usafishaji wa magunia, gharama za kuhifadhi godown etc.... Overall on average mpaka ifike Desemba gunia moja litakuwa lumegharimu elfu 60, so ili arudishe pesa yake angalau auze elfu 80... Kumbuka hapo kila mwezi since June anakatwa mshahara wake, analipa kodi ya nyumba na mengineyo, yaani haya mambo siyo rahisi kihivyo.
Hela

Hela ya mkopo sio ya kuanzishia biashara .....angeanza polepole kuijua biashara kwa savings.......biashara ya mali mbichi au mazao ni kama kamai sometimes
 
Biashara gani inaingiza faida ya milioni 1.5 kwa mwezi mkuu?...
Biashara zipo nyingi sanaaa Mkuu unaweza ukaangalia taaluma yako inaendana na vitu gani ambavyo unavijua sana. Kitu cha pili unapendelea nn kwenye maisha yako.Ila katika vyote hivyo mtangulize kwanza Mungu. Na usithubutu kulisema jambo lako hujafika hata nusu la lengo lako. Mimi nilikuja kuwaambia watu wangu wa karibu nilivyofungua tu duka
 
Nimemshauri asiache kwa sababu waafrika hatuna nidhamu ya fedha ni bora aendelee kubaki serikalini. Maana anaweza akawa anatumia hela vibaya mpaka mkataba ukaisha na asifanye chochote then wasirenew mkataba.
Financial intelligence inatafutwa kwa kusoma vitabu.

Ila inaonyesha unatamani abaki serikalini.

#YNWA
 
Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.

Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.

Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.

Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?
Mi niko private, mwambie asithubutu kuacha kazi serikalini, mshahara mdogo ila ana nafasi ya kukopa bank akafanya investment zake au hata kujenga nyumba nzuri ya kuishi akabaki anapambana na mambo mengine madogo madogo, huku private anytime unafukuzwa, unarudi kuteseka...
 
Basi wewe umemaliza mada.
Umeyaongea yote niliyotaka kuyasema yaani kuna watu huwa nawaonea huruma sana serikalini yaani wanaishi maisha choka mbaya lakini wanasikia raha kuonekana wapo serikalini.
Unakuta mtu hana ndoto kama atakuja kumiliki milioni 40 hadi afike miaka 60 akistaafu wakati kuna kazi za private hiyo pesa unaishika ndani ya mwaka.
Huo uoga ndio uliwafanya watu wengi kwenda kusomea ualimu kwa kigezo kwamba ukimaliza kusoma hutafuti kazi unapewa moja kwa moja matokeo yake wanaenda kuishi maisha choka mbaya ambayo muuza duka la mtaani ni mfalme kwao.
Vijana tubadilike hayo maisha ya kusubiria kiinua mgongo tuwaachie wazee wetu
Wanasubiri kustaafu kuweka ndo wapate hiyo pesa.
 
Hela

Hela ya mkopo sio ya kuanzishia biashara .....angeanza polepole kuijua biashara kwa savings.......biashara ya mali mbichi au mazao ni kama kamai sometimes
Mi nimeanzisha biashara kwa hela ya mkopo tena ya kilimo.

#YNWA
 
Asiache kazi,
Sana sana namshauri aanze kujifanyia miradi /kujijenga binafsi nje ya Ofisini ili kuongeza kipato...

Afikirie job security in the long run
Kazi za mikataba ni mtihani mkubwa hio mikataba ikiisha....usiache mbachao......
Acha kufikiria job security
Tafuta FINANCIAL FREEDOM.
Ili kunielewa tafuta vitabu vya ROBERT KOYASAKI.

#YNWA
 
sio kweli huo ni uoga tu wa maisha,hebu wewe jiulize katika hayo maisha ya serikalini hadi uungeunge take home ya laki 9 ni lini utakuja kumiliki nyumba ya milioni 100

Mkuu serikalini mwenye bachelor degree kuna mshahara wa chini ya mil 1 take home?
 
Watanzania ni watu waoga Sana aiseeh sio risk takers kabisa.

Mimi nimeacha kazi mwaka wa tatu Sasa sikumuuliza mtu hata neno moja. Nilijifanyia self assessment nikaona Kuna calculated risks nikaruka.

Watanzania tunashindwa kuvunja na kwenda beyond our limits tunaishia kuishi kwa kukwazika.

Binadam lazima uwe risk taker wa kimaslahi.
Bro Watanzania tunatafuta sanaa security ila tunasahau Financial freedom.

#YNWA
 
Mi nimeanzisha biashara kwa hela ya mkopo tena ya kilimo.

#YNWA
Ulikiwa na uzoefu au bahati ,ndio maaana nimesema biashara za mali mbichi na kilimo sometimes uzoefu na kucheza na msimu ni kama kamali ,usipo jua game unapotea.

Tatizo huna uzoef alaf unaingiz mkopo hukoo..
 
Back
Top Bottom