Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,210
- 2,833
Ww huna akili hiyo ww ni mmojawapo watu waoga. Kama mtu una akili timamu ukijiwekea lengo lako na ukijituma kwa bidii lazima ubutuwe ukiona hivyo ww huna matumizi mazuri ya fedha.Unajichanganya mwenyewe yani mpaka mwaka anaweza akawa na hiyo 40 milioni, umeongea as if anapewa yote milion 60 kwamba anatenga 20 ya matumizi inayobaki 40m aweke kwenye uwekezaji, unajua kuongea ni rahisi sana, yeye analipwa kwa mwezi mzee, na pia tumeona awamu hii kampuni nyingi zinavyofungwa sababu ya kodi je unadhani hiyo kampuni mara ghafla ikafungwa tena ataenda wapi, sio uwoga ila Watanzania wengine tuna akili zaidi ya wewe ulivyowaza, ni vyema uwe mwangalifu kuliko tamaa