King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,330
- 88,488
Aende Dar Tech au TCA.
kama ni ajira anatafta computer science haimfai kabisa bora hiyo accounts akiwa na vi CPA vyake.Uhasibu kibongo bongo ngumu kujiajiri..
Ajira zake pia ushindani mkubwa.
Asome diploma ya cyber securityNina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance..
Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri zaidi.
Pia je mwanafunzi anayetokea o level anaweza pata mkopo?
ipi course nzuri ya computer?
Tunatanguliza shukrani
DIT, ARUSHA TEC au MUSTNina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance..
Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri zaidi.
Pia je mwanafunzi anayetokea o level anaweza pata mkopo?
ipi course nzuri ya computer?
Tunatanguliza shukrani
Vyuo ni hivyo hivyo ulivyotaja ila asome diploma ya ICT in cyber securityasante mkuu..naskia kuna DIT,,,ATC,,,MUST
je anapata mkopo???
je course ipi ya computer nzuri zaidi?
mdanganye pale hata field atakapo kosa pa kufanyiaAsome diploma ya cyber security
Arusha Technical college
DIT
MUST mbeya
Kwa sasa hii kozi ina fursa katika TEHAMA
YES kozi za TEHAMA WANAPATA MKOPO Angalia guideline za HESLB
Computing Centre ya UDSM? Labda ya zamani, lakini ya sasa, mhh! Watoto wanashare Computer. Kuna dogo alisoma hapo Certificate. Ilipofika Diploma akahamishiwa chuo kingine.Achana na DIT nimesoma hapo pamekaa kizembe.
Mpelekeni UDSM pale Akaanze certificate (Computing center pale)