Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
Ukijua uwepo wa vyama vya upinzani na kazi zake,na zilizofanywa na kuonekana toka vianzishwe huwezi kuja na kauli kama hizi, kama wewe huzioni ni wewe na hili sio tatizo lako tu unaejiita pastor no ni la mashekh,maaskofu,wachungaji wainjilisti nk MMEJAA UNAFIKI TU,MAHALI PA KUSEMA SIO MNASEMA NDIO NA SEHEMU YA NDIO MNASEMA SIO kisa kuiogopa serikali isije ikawafuatilia na kufunga makanisa yenu mkakosa sadaka na mafungu ya kuni,subirini siku inakuja mtatakiwa kujibu HUU UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA MLIVITOA WAPI.Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
You are not a Tanzanian. If by chance you are then there is something seriously wrong with your brainKuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
kama anadhani ya Lissu yatasahaulika anajidanganya ni mpaka atakapofungwa ndipo tutanyamazaKuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Tetty huu uandishi wenu uwa unanikera sana.
Mnaandika kilawalawama na kwa kususasusa kama watoto.
Grow up.
Unaupatia upinzania kidole kati. Ana ghadhabu na upinzani, na bahati mbaya watanzania hatujui aliichukulia wapi, au ni wapi upinzania ulimkwaza kiasi hicho.Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Haya!why not !! a second president after Nyerere to have a philosophy ... he knows what he wants from himself and what he expects from his subordinates. The main problem:- people hate changes, they get used to loose systems, we did /do not have a better education system, we are the product of a poor education system, we are failing to solve our problems, we are failing to make informed decisions. WE ARE CONTROLLED BY HATE AND EMOTIONS. THE EDUCATION SYSTEM must be changed or updated for the sake of our future generations. JPM is not to blame bro! this country is rotten to the core, no accountability, professionalism, integrity etc. Let him rebuilds this rotten shit!! at least he saw something that other cowards did not see. Most politicians are attention seekers let them take actions not speaking like fools, You can not win a person by your mouth but a brain...actions speak louder than words..
Mkuu,nadhani ulitaka kusema chama tawala kiko weak sana na kinaishi kwa kuvu za dola,watawala nchi hii hawataki kusikia kusanyiko lolote la wapinzani liwe la nje au mkutano wa ndani demokrasia imerudi nyuma miaka 25,unajiuliza nini hofu ya watawala??HAWAJIAMINI.??Ni moja ya jukum la wapinzani. Japo wapinzani wetu wapo weak sana, chama tawala saivi kinaishi kwa nguvu ya vyombo vya dola tuu.
Vyote ni sawa tu! Kwa sasa haiwezekani kabisa chama cha upinzani kupata wanachama wapya katika maeneo ambao hakina uawakilishia wa diwani au mbunge! Wanachama wapya hupatikana kwa kufanya mikutano ya hadharaambayo imepigwa marufuku! Lakini yeye mwenyewe anazunguka nchi nzima akipokea wanachama wapya!!
Tumieni nguvu ya hoja. Wapo waTanzania wenye uwezo wa kupambanua (na wanazidi kuongezeka) kati ya mchele na pumba. Kuukandamiza upinzani ni dalili ya kutojiamini au kama ilivyosikika ni dalili za udikiteta.Adili
Magufuli ana madhaifu yake tena mengi tu.
Hivyo ni haki kukosolewa.
Ila kuna wakati Upinzani wanapayuka payuka kuhusu vitu obvious na visivyo na impact yoyote.
niah
Wakosoe ili wasipayuke.
Wakosne kama Mbowe,ambaye alishalipigia kelele swala la Wizara moja kuna na madini na nishati sehemu moja.
Inshu ya CC wa Bunge kikatiba haina shida,labda kisheria
sasa badala ya wabunge kuaandaa hoja binafsi ya kubadili ibara 87 ya katiba kifungu cha sheria na 15 ya Buoge,wanakuja humu kulialia ili kupata publicity. Nani atawapa nafasi ya kusikilizwa si kila siku wanagonga mwamba?
Kwani kati ya Katiba na sheria ipi iko juu ya mwenzake?
Aya ameapishwa,ushasikia tena kelele za akina Zitto?
Hizo ndizo miye naziita unnecesary and uncalled for jabberings.
Azulene time wont say anything,if you just sit down there and do nothing.