Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
- Thread starter
- #41
Mkuu wa Kibiti asante kwa kunielewa.
Umeishasema Rais hajali, hizo agenda unazosema wakoame nazo nani atazijali ili zizae hayo matunda ?CHIEF MP hata kama ni hivyo wakomae na ajenda zao mpaka zizae matunda!
Walichoahidi ndicho Serikali inafanyia kazi, kwa hiyo wako makini kuangalia kuwa zinatekelezwa kwa kufuata Katiba ya Nchi kwa kufuata misingi ya Utawala Bora.sawabho kwani wakienda kwa wananchi watauza ajenda zipi?
Zile za kwao wenyewe walizozisimamia zikaa matunda?
Au zile walizozikwapua toka kwa Serikali au Rais?
Kwani wakati wanafanya kampeni waliahidi nini mkuu?
Hizo ahadi ndiyo nazisema na kuzipigia upatu zitekelezwe!
Umechambua vema kabisa, sijui wao wanataka ajenda ziwe zipi yaan ni kituko kweliAliyekwambia kazi ya upinzani ni kumfanya Marufuku ajali ni nani? Upinzani wanatekekeza wajibu wao, na miongoni mwa wajibu wao ni kukosoa maamuzi au matendo ya hovyo au yaliyo kinyume na katiba-kwamba atajali au hawajali sio suala la upinzani pekee.
Kama upinzani walipiga kelele kwamba Bashite ametenda kosa la jinai au ana tuhuma za jinai na Rais akamkingia kifua, wapinzani wametimiza wajibu wao. Na wananchi nao wamezidi kumwelewa Rais wao.
Wapinzani wnapaswa kufanya kazi zao kwa kuangazia mambo yanayotokea kila siku. Ajenda za upinzani zinapaswa ziangazie utendaji wa serikali. Huwa siwaelewi mnaposema wapinzani hawana ajenda wanarukiarukia!
Km kazi yao ni kuikosoa serikali wewe unaona wametenda kazi yao au la!? Poor kabisachabusalu hakuna aliyekataa,waache kudandia hoja kila mara rais anapoziibua!
Wakomae kusimamia ajenda zao wenyewe wanazoziibu mpaka zizae matunda na siyo kuziacha hewani kwa kimbilia zingine !
Hahaaa! Eti in their constituencies! Since when rallies zimekuwa limited kisheria "in their constituencies"?GreenCity how?through political rallies in their constituencies.
When?anytime,anywhere,everywhere...
Where?in the mass media,out there,or here on online platforms!
RubbishKuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Mtu anavunja katiba, asisemwe!? Sasa mnataka opposition waseme nini jamani? Online Pastor kwanini usijikite kwenye dini tu, you are too weak in politics!
yesGreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.
Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.
Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
A person who doesnt care is a careless person. Is he?
Mhhh.Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.

Ni moja ya jukum la wapinzani. Japo wapinzani wetu wapo weak sana, chama tawala saivi kinaishi kwa nguvu ya vyombo vya dola tuu.