Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,223
- 829,236
That's what we call carelessnessElected president to work for his people not to abuse the power of the office of the president of tanzania ...
That's what we call carelessnessElected president to work for his people not to abuse the power of the office of the president of tanzania ...
Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Kuna faida gani kufanya makosa ambayo mwenzio anayatumia kuthibitisha hoja zake mbaya kwako?Kwanini usifanye nzuri km unaweza ili hoja zao zikose pa kuthibitisha?Nania nafaidika na nani anapata hasara?Kazi ya upinzani ni kujenga hoja, ni kazi ya wananchi kupima na kutoa hukumu stahiki!!
😀😀😉😉😉😉😉😉😉 HAHAHA UNGEKUWA KARIBU NINGEKUTIA VICHWAWhy sho he care? He is an elected president with all mighty powers....![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio maana nauliza, katiba inakanyagwa hao wapinzani wakae kimya kwa sababu Mhe rais hajali? Ni agenda gani kubwa zaidi ya kusimamia utawala wa sheria!?GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.
Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.
Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
Ndo ukweli mkuu we need adult supervion state house period.That's what we call carelessness
Wewe hujui ishu yenyewe. ishu wala siyo magufuli kujali. na asipojali ndio vizuri zaidi kwa upinzani. lakini pia si kweli kwamba hajali. angekuwa hajali, usingeona kiwewe cha kufungia magazeti na kuisakama mitandao. usingeona kiherehere cha kujibu kauli za Tundu Lissu - ila walikiri kwamba Bombadia imekamatwa na kwamba tuna kesi, ila wakajaribu kubadilisha hoja kwamba Tundu Lissu ndio msaliti. Magu anajali sana na ndio maana utaona majibizano kutoka ofisi ya Bunge, mawaziri, na idara ya habari maelezo.Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Bro you are lost even the ruling party is in the opossition`s agenda. Kuitetea ccm ni shida km kumsafisha shetani. UNAAMINI AMRI YA KWANZA YA MUSA na AMRI YA KWANZA YA CCM NA WAJAMAA.Usilitaje bure jina la mwenyekiti.mshana jr then if that is so,i would rather advice the Opps wing to stick to their ajendas,and work hard to make sure they bear fruits first before hopping to other irrelevant ajendas.
CHIEF MP hata kama ni hivyo wakomae na ajenda zao mpaka zizae matunda!
Una hoja ya msingi boss.ipyax sidhani kama kubwana kwa Bunge kumewanyima Upinzani kutimiza ahadi zao na ajenda.
Kwani ajenda au siasa wanafanyia majimboni na Bungeni wanaenda kuwasemea wananchi.
Na hata kuzimwa kwa Bunge hakujawazua kufanya siasa.
Wanazifanya na tena kwa levo bora kuliko enzi za JK.