Does Magufuli care?

Does Magufuli care?

M
GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.

Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.

Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
Mkubwa wamepoteza think tank lao 'dr slaa'hakuna tena wa kuumba agenda ye.nye mashiko.
Ona vitu wanavyo zungumza
Mara ooospika ameshindwa kuongoza bunge liwe na nguvu
Mara hoo anaurafiki kimapen na
......
Mara wazibe midomo.
Mara wajenge ukuta hewa.
Nendeni mererani mkaone ukuta wa kweli .
Mara walie na naibu spika.sasa wanalia na spika mwenyewe.mkapige magoti kwa dr slaa akutafutieni agenda.
Manake ya ufisadi mmenyang'anywa
Yaserikali legelege mmepokwa.hhaaaa kazi .kwelikweli.
Sasa huyo mlie mleta hadi leo ameleta agenda gani?
 
Mjina Mrefu

Let me ask something.

Was Bashite part of your policies when you were asking for votes in 2015.

Will Magufuli loose the 2020 GE because of his mishandling of Bashite Saga?

If Yes,then well anda good.

If not,then why all these unnecessary and uncalled for jabberings!?
Kama anajiamini atashinda, aruhusu katiba ibadilishwe ili kuwe na tume huru ya uchaguzi tuone
 
Mjina Mrefu

Si unanaona hata wewe ili jambo linakutesa.

Badala ya kustick kwenye hoja mpaka mwisho umebaki kuhama hama tu.

Ona sasa,ushadandia hoja ya Katiba Mpya.
 
Mjina Mrefu

Si unanaona hata wewe ili jambo linakutesa.

Badala ya kustick kwenye hoja mpaka mwisho umebaki kuhama hama tu.

Ona sasa,ushadandia hoja ya Katiba Mpya.
Kwann ukwepe suala la katiba?

Anyway, rudi kwenye reply yangu ya mwanzo km sijataja katiba..

Alafu naona ungezama ktk kujibu maswali niliyokuuliza zaid ya kuleta porojo
 
chabusalu hakuna aliyekataa,waache kudandia hoja kila mara rais anapoziibua!

Wakomae kusimamia ajenda zao wenyewe wanazoziibu mpaka zizae matunda na siyo kuziacha hewani kwa kimbilia zingine !
Kwahiyo rais akikiuka sheria za nchi wanyamaze kimya kwakuwa tu wataonekana wamedandia hoja?

Utakuwa ni upinzani wa namna gani huo unyamazie ukiukwaji wa sheria?

Ajenda zao ndio zitawafanya wanyamazie ukiukwaji wa sheria za nchi?

Takataka!
 
GreenCity

Huko Mbeya vijijini kashinda nani?

Na kwanini wanaohusika hawafanyi mikutano huko!
Kashinda chama tawala!

Lakini Naambiwa mtu kama Mbowe, Mashinji, Spunda, Zitto hawaruhusiwi kufanya mikutano huku! (the case is different from the last two years).

Ndio nikakuuliza kuna mabadiliko yoyote kwenye sheria husika?
 
Mkuu,nadhani ulitaka kusema chama tawala kiko weak sana na kinaishi kwa kuvu za dola,watawala nchi hii hawataki kusikia kusanyiko lolote la wapinzani liwe la nje au mkutano wa ndani demokrasia imerudi nyuma miaka 25,unajiuliza nini hofu ya watawala??HAWAJIAMINI.??

Ndyo mkuu. Wote watawala na wapinzani Tanzania ni weak sana. Chama tawala wanaishi kwa nguvu ya mahakama, Polisi, usalama na jeshi saivi. Hawana hoja wala fikra za msingi za utu, haki, amani na ustawi wa jamii nchini.

Upande wa wapinzani nao hawana dira, hawana msimamo, ni waoga, wambea, hawana clear vision na mikakati ya kuwasaidia wananchi. Wanadandia matukio ya kijinga, wanaishi kwa kusubiri serikali au flani kakosea wapi. Hawana mfumo clear au utambulisho clear wa upinzani. Ni kutegemea Tundu Lissu tuu basi, akifa huyo kwishney. Na hawezi fanikisha peke yake. Inahitaji umoja na mshikamano wa vyama. Waache unafiki na kutetea maslahi yao nyuma ya pazia.
 
Wangekuwa weak wasingemiminiwa risasi 40
Mkuu, unaona kama upinzani wetu huu unaweza fanya kitu gan mbele ya chama tawala ata kweny uchaguzi ujao tuu hakuna kipya.

Usimwangalie Lissu au mtu mmoja mmoja tuu. Upinzani as an entity wana counter vp dhidi ya watawala?
 
chabusalu hakuna aliyekataa,waache kudandia hoja kila mara rais anapoziibua!

Wakomae kusimamia ajenda zao wenyewe wanazoziibu mpaka zizae matunda na siyo kuziacha hewani kwa kimbilia zingine !
Kwa mfano, ajenda gani ambayo imeachwa hewani na upinzani? Upinzani wako very strategic, wanafanya mambo yao ili kuendana na utendaji wa serikali ya awamu ya tano, na haishangazi serikali inatumia nguvu zilizopitiliza kuwanyamazisha. Upinzani hawaongozi serikali kiasi kwamba wafanye kile unachotamani wafanye. Wanawezaje kuwa na ajenda ambayo implementation yake bado inategemea na usikivu wa serikali. Hicho unachokisema sio kwa nchi kama hizi za kwetu. Hilo linawezekana kwa nchi za wenye akili.

Nadhani ili tutende haki, tunapaswa kuwapongeza mno opposition maana pamoja na serikali kutumia maguvu mengi kuwanyamazisha lakini still wameendelea kupambana na kutuonyesha kile ambacho serikali ilituficha na ambayo ni ya hovyo kabisa kutendwa na serikali. tatizo liko kwa sisi wananchi-wengi wetu ni wajinga na uwezo wetu wa kubaini propaganda hata zile za kiwango cha chini kabisa, hatuna!
 
wanaishi kwa kusubiri serikali au flani kakosea wapi.
Kazi ya vyama vya upinzani ni KUISIMAMIA,KUIKOSOA NA KUISHAURI serikali,kuishangilia na kuisifia haina mantiki maana watakuwa wanatekeleza walichoahidi kwa wananchi na hii si kwa Tanzania tu ni dunia nzima.
 
Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.


Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.


Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.


Mmemusema Makonda wee,alijali?


Mmemusema Kalemani,alijali?


Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?


Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.


Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.


The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.


But at whose expense?


Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.


Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.


Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.


Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.


But Does Magufuli care?
Huyo "magufili cares" ni mdudu gani? si tuko bize tunakula maisha hata sie "who cares"
 
GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.

Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.

Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
Huna la kuvifundisha vyama pinzani zaidi ya kupropagate na kuviundermine ili kuwavunja wenye mitazamo tofauti moyo! Kwahiyo wewe kuvunjwa kwa katiba kunakufurahisha?
Itoshe tu kusema kuwa hata kama ni katika kujenga uchumi lakini sio kwa siasa hizi za kuingilia mihimili mingine na kunyima uwanja sawa wa kisiasa kwa vyama vingine kwa kutumia dola! Let's be wise instead of worse!
 
FLAMMARION23

Na leo yuko huko Zanzibar,atawarushia fupa jingine,na watasahau ajenda zote ikiwemo ya Chief Clerk wa Bunge.

Stay tuned
 
Back
Top Bottom