Does Magufuli care?

Does Magufuli care?

GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.

Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.

Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!

Inawezekana ukaona ni bendera fuata upepo ila siku utakayoamka utakuwa umeishachelewa sana.Piga Makofi sana tu ndicho mkiwezacho,wala msikosoe ni dhambi.
 
Doesn't matter whether he cares or not, what matters is, all of his fundamental mistakes have been left naked!

And Bashite is his undoing
 
Ekasi can you produce any tangible evidence to justify your reply?

why not !! a second president after Nyerere to have a philosophy ... he knows what he wants from himself and what he expects from his subordinates. The main problem:- people hate changes, they get used to loose systems, we did /do not have a better education system, we are the product of a poor education system, we are failing to solve our problems, we are failing to make informed decisions. WE ARE CONTROLLED BY HATE AND EMOTIONS. THE EDUCATION SYSTEM must be changed or updated for the sake of our future generations. JPM is not to blame bro! this country is rotten to the core, no accountability, professionalism, integrity etc. Let him rebuilds this rotten shit!! at least he saw something that other cowards did not see. Most politicians are attention seekers let them take actions not speaking like fools, You can not win a person by your mouth but a brain...actions speak louder than words..
 
Ekasi

You have written a good piece of reply.

But you wholly have missed my point.

My point was to ask the opposition wing if Magufuli has ever cared enough to listen to their sometimes unncesary criticisms and tendency not to stick to one agenda to the end.

What i see from your reply is totally different to my subject.

Yes Magufuli is trying to do a total overhaul of our country's rotten system.

But i was asking the Opps wing does he care enougi to listen to their uncalled for jabberings.
 
Tetty huu uandishi wenu uwa unanikera sana.

Mnaandika kilawalawama na kwa kususasusa kama watoto.

Grow up.
 
Mjina Mrefu

Let me ask something.

Was Bashite part of your policies when you were asking for votes in 2015.

Will Magufuli loose the 2020 GE because of his mishandling of Bashite Saga?

If Yes,then well anda good.

If not,then why all these unnecessary and uncalled for jabberings!?
 
Hata wapinzani "they dont care either". Ila muda utamkumbusha na 2020 sio tu atatupigia magoti bali atatuamkia kabisa analeta jeuri kwa kibarua cha 5 years keshakula 2, sie tunamwangalia anavyombwela mbwela muda utamleta kwa wananzengo.

Pia kwa kubadili baraza ni dalili hata kama dish limeyumba kunawakati anakaa sawa tu!

Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.

Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.

Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.

Mmemusema Makonda wee,alijali?

Mmemusema Kalemani,alijali?

Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?

Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.

Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.

The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.

But at whose expense?

Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.

Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.

Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.

Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.

But Does Magufuli care?
 
he's clueless.
as simple as that!
 
Kazi ya vyama vya upinzani popote pale ni nini kama siyo kuikosoa serikali iliyo madarakani? Huyu kama ni mama Haambiliki siku moja ataandika vitabu kama Mwalimu alivyoandika Tujisahihishe na kujikosoa. Unasoma kinachotokea Uturuki, Urusi, West Africa, wapinzani kazi yao siyo kuongoza ila ni kukosoa.
 
Back
Top Bottom