ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,888
- 131,907
So when t comes like when u guyz met at first place!...unajb nn!
Sojaelewa swali lako!!
So when t comes like when u guyz met at first place!...unajb nn!
Wana bodi niwasalimu...
Nimeonelea nipate mawazo tofaut na mm nnavyofikiri kuhusu mahali kwa mara ya kwanza umeonana na mpenzi wako,
As to me naamin kuna maeneo km club,kwenye daladala,bar na maeneo yanayofanana na ayo sio sehem sahihi na uwezekano mkubwa kua hamtafika mbali,
Ila vp kuhusu wale waliokutana kwenye mitandao ya kijamii kama facebook,umu jf na mitandao mengne...hawafahamian lkn wakaanzisha mahusiano...wil it work!
Najua kila mmoja na mtazamo wake na icho ndo nahitaji

Share wth us tuone mbivu na mbichi an if u gat logic thn
mimi nadhani kuanzisha mahusiano na mtu katika mtandao ni hatari zaidi kuliko utakayekutana naye club au ndani ya daladala, why? kwa sababu, unayekutana naye live ni rahisi kujua tabia zake na kujua kama utakuwa tayari kuwa naye katika mahusiano au la, lakini kwenye mtandao si salama, huwezi kujua tabia halisi ya mtu kwa kuangalia text zake na picha zake, wengi taarifa walizoziweka mtandaoni si za kweli na hujivika tabia ambazo si zao na utayajua hayo yote ukikutana naye.
Mkuu kazi ya mtandao ni moja hapo kuwakutanisha kwa mara ya kwanza then mnaexchange namba za simu afu mnapanga lini muonane face to face and you move to the next level, naamin hivyo ndo inafanyika hata kwa mtakao kutana church, hospital, kw dalalala, Bar, disco. Na mie huwa naamini Kuwa mtu atakutana na mpnz au Mke sahemu zile anazopendelea Kuwa km. We mlevi chances za kukutana na Mke bar ni kubwa sana coz ndo mahali ambapo upo muda mwingi! Ni mtazamo tuu

Kwani mfano ukimuona mtu kweny hz social network ukatokea kuvutiwa nae na ukataka kuanzisha nae mahusiano unamuoa au kuolewa nae hapo hapo mtakapokutana? Si kwanza Mnaweza kukaa hata miaka 2 kujuana zaidi, sababu hata huyo unaekutana nae live huwezi kumjua vzr hapo hapo just bcz umemuona live lazma kwanza umsome kwa kipind fulan, kwahyi me sioni kama kuna tofauti
I get your point mrsleo, ila mimi nimewazungumzia wanaoanzisha mahusiano kabla ya kukutana, nimesema ni ngumu kujua tabia ya mtu mtandaoni kiasi cha kuanzisha mahusiano naye hata kabla hujamwona na kumjua vizuri.. tofauti na wale wanaokutana club au sehemu nyingine ni rahisi kufahamiana kwani mtaendelea kuonana mara kwa mara.
Sizani kama ni possible kuanzisha mahusiano na mtu ambae hujamuona labda kama wote hamko siriaz na mmeamua kujifurahisha tu
Siamini mahusiano ya mtandao from the first day huwa najiuliza maswali mengi ambayo majibu yake inabidi unidanganye hadi nikubali
wangu nilifahamiana nae kwa hz sosho netiwekx na 2na miaka m3 sasa tuko happy balaa
Na ichi ndicho nlichokua nataka...proof!!!....thnx kumbe inawezekana