Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,027
- 1,052
Wana bodi niwasalimu...
Nimeonelea nipate mawazo tofauti na mimi nnavyofikiri kuhusu mahali kwa mara ya kwanza umeonana na mpenzi wako,
As to me naamini kuna maeneo kama club,kwenye daladala,bar na maeneo yanayofanana na ayo sio sehemu sahihi na uwezekano mkubwa kua hamtafika mbali,
Ila vipi kuhusu wale waliokutana kwenye mitandao ya kijamii kama facebook,umu jf na mitandao mengne...hawafahamiani lkn wakaanzisha mahusiano...wil it work!
Najua kila mmoja na mtazamo wake na icho ndo nahitaji