Does everthing happen for specific reason?????

and sometimes the reason is you are stupid.
 

Mkuu nimepata point yako, vipi je ki-imani unaongeleaje hili swala? au huna imani kabisa??
 
Gaijin, nimepata point yako hapo..


The Don Kiranga, kuna mambo mengine hayana cause and effect nionavyo mimi for instance unajituma sana kusoma ikiwa ni pamoja na kufanya yote yanayohusu masomo yako lakini unajikuta umeangukia pua bila ya sababu unayoielewa, au kwa mfano mwingine ukute wewe ni mfugaji na una mifugo yako unayoiangalia kila siku kwa kuakikisha wanapata matunzo stahili lakini unashaanga wanakufa mmoja baada ya mwingine na hawakuwa wanaumwa..
 
Last edited by a moderator:

Is kudura by design or chance?
 

Kuna watu kama ujeni wanaelewa haya, nikiandika hapa wengine wanaona kama madudu na mabobish tu.
 
Last edited by a moderator:
Kila jambo linatokea kwa sababu maalumu aisee..mfano hizi ni experince nilizokutana nazo personally kuna kipindi flani niko skull adaptor yangu iliharibika kwaio kudesa kukawa kwa tabu sasa siku natoka library kusoma nikaona mtu kaisahau adaptor ambayo inafaa kwenye pc yangu sema uoga ukabishika nikaogopa kuichukua..juzi kati nilienda kupeleka kucharge battry za ndinga sehemu kiukweli nilikua na hela za mawazo kinooma yan sasa nafika tu hilo eneo nikakuta buku ten imedondoka anayehusika na mchongo hajui nikaibeba nikala bati sasa jumla naenda kuchukua bettri likawa linavuja kuziba buku 5 yan buku ten yote ikawa imeisha na kimsingi ni kama nimecharge bure..kwa minaajili hiyo everything happens for a reason aisee
 
You are simply obsessed by Einstein's theory of relativity without actually grasping the underlying principles of the same.

I am always open to some education, especially if it involves some lofty and underlying principles of science. So I look forward to your input.

Are you aware that an effect can occur even before its cause?

Am aware of this? Do you know how to read? Isn't this what I have been talking about by disputing the unidirectional and absolute nature of time? My entire reason for bringing Einstein in this conversation was to point this out, and you are asking me if I am aware of this? I was writing about tachyons moving back in time on my Geocities page in 1999, after learning about that for a decade. Am I aware?

that a glass window can be seen shattering before the bullet which breaks it is fired?

You are stretching an analogy, a quantum/ subatomic one out of it's proper context. I wrote above how cause and effect are illusions of our scale in the universe, go low enough and everything becomes so probabilistic that time itself, the harbinger of "cause and effect" breaks down, and therefore causality breaks down.This is what I pointed above.

Am I aware?

that someone can travel at such a speed which would make red lights appear green?

This is the Doppler effect, the same effect that makes sirens sound distorted. I taught a class about this in 1996.

Am I aware?

Here we are trying to connect thories with real life to explain life itself instead of dealing with the same in obscurity

Which is what I did by introducing Einstein's theory of relativity, which shows time - the harbinger of cause and effect- as being relative and not absolute, and therefore, cause and effect being an illusion of the large scale universe.

Who is not able to connect theory to real life to explain phenomena now?

Who is not aware now?

If you were aware of the underlying implications of Einstein's relativity you would have seen the point of my post.

You sound like you just copy pasted or reproduced something without understanding it.
 
kwa leo nafikiri sitaweza ku comment vizuri as kuna yalonikuta "negative".. hivyo nimwombe Mungu aendelee kunipigania na kunishindia hili jaribu...loo
 
The Don Kiranga, kuna mambo mengine hayana cause and effect

Tumeeleza jinsi gani mambo mengine yanatokea kwenye "virtual time" huko ambako a near perfect vacuum inaweza kuzalisha subatomic particles from the sheer pregnancy of the universe, hatujui cause, inawezekana universe yetu hatujaielewa vizuri, inawezekana causality ime break down huko na kinachoangaliwa ni balance ya matter/antimatter kuliko cause and effect. Kwa hiyo angalau katika level hiyo ya vitu vidogo sana ambako hata muda unavunjika huko, cause and effect si lazima.

nionavyo mimi for instance unajituma sana kusoma ikiwa ni pamoja na kufanya yote yanayohusu masomo yako lakini unajikuta umeangukia pua bila ya sababu unayoielewa,

"Bila ya sababu unayoielewa" ni tofauti na "bila sababu".

Pengine unasoma kitabu kisichofaa, au unasoma huku una muwaza Mwajuma kwa sana, au unafikiri unasoma sana kumbe unasoma ukurasa mmoja dakika kumi nzima, au unasoma bila ya mtu wa kukuelewesha etc etc.

au kwa mfano mwingine ukute wewe ni mfugaji na una mifugo yako unayoiangalia kila siku kwa kuakikisha wanapata matunzo stahili lakini unashaanga wanakufa mmoja baada ya mwingine na hawakuwa wanaumwa..

Again inawezekana kabisa kuna ugonjwa huuelewi.

Ian Fleming, the creator of James Bond had a saying "Once could be happenstance, twice could be coincidence, thrice is definite design". Ukiona mifugo inakufakufa tu, kila mara, inabidi kuumiza kichwa kuelewa sababu.Itakuwepo tu.

Hata kama ni old age.
 
kwa leo nafikiri sitaweza ku comment vizuri as kuna yalonikuta "negative".. hivyo nimwombe Mungu aendelee kunipigania na kunishindia hili jaribu...loo

Ulisahau kumwomba akupiganie yasikukute hayo yalokukuta "negative"?
 
Ulisahau kumwomba akupiganie yasikukute hayo yalokukuta "negative"?
haha .. not real.. nilimwomba pia nadhani ndio sababu mpaka sasa napumua. NI KWA NEEMA TU.. wala SISTAHILI>
 
haha .. not real.. nilimwomba pia nadhani ndio sababu mpaka sasa napumua. NI KWA NEEMA TU.. wala SISTAHILI>

Sasa kama ulimwomba na bado yakakukuta huoni kwamba alishindwa kuyazuia? Kwa nini umwombe tena aendelee kukupigania?
 
kwa leo nafikiri sitaweza ku comment vizuri as kuna yalonikuta "negative".. hivyo nimwombe Mungu aendelee kunipigania na kunishindia hili jaribu...loo

Polee, kama mbeleni ukija kugundua sababu ya yaliyokukuta please usisite kutu-update hapa!!
 
Mkuu nimepata point yako, vipi je ki-imani unaongeleaje hili swala? au huna imani kabisa??

Imani nnayo (Muslim)!
Ktk Uislam kuna QADAR na QUDRA (Nguvu/Uwezo na Mipango ya Mungu) na ni nguzo ya sita ya imani!
Hii concept watu wanaitafsiri vibaya kwa kusema kila kitu kinakwenda kwa mipango ya Mungu (Mungu kapanga)! Na wanatumia Qur-anic verses bila kutambua:-
Qur-an ni fasihi ya hali ya juu!
Ktk Qur-an kuna repealed verses (abrogating and abrogated verses)
just think, all Muslims are guided by 1 Qur-an! Why there SECTS?
Kama Mungu anapanga:
Jee Mungu anapendelea?
Kwanini wengine awapangie mema na kuwaingiza PARADISO huku wengine awapangie maovu na kuwaingiza Motoni? Na yeye ni Hakimu Muadilifu!
Kuna umuhimu gani wa kuleta Mitume na vitabu kuelisha watu wakati kila kitu kinakwenda FREE (ktk mipango yake) au aandikalo Mola hufutika?
Mungu anapanga baadhi tu kama vile Earth creation, its rotation, creatures, and a like!
Haya mengine tunajipangia wenyewe!
MUNGU HAPANGI KILA KITU! (Kama huamini jiulize Mungu kakupangia uzini?) HOWEVER HIS POWERS ARE UNLIMITED!
MUNGU ANAJUA KILA KITU (Kilopita, kilichopo na kijacho)
narudi ktk mada: (refers mtizamo wangu ktk post iliyopita!)
 
Sasa kama ulimwomba na bado yakakukuta huoni kwamba alishindwa kuyazuia? Kwa nini umwombe tena aendelee kukupigania?

Aliyaacha yatokee ili yamkomaze, yamfanye a better person, yamuandae for new level in life, yamuandae for future challenges.
So nafikiri ni sahihi kundelea kumuomba ampe nguvu (kumpigania) ya kupambana nayo.
 
From mwanadamu's point of view, by design

From God's point of view, we don't know. Maybe probabilistic ...

Mungu is another one of those myths. Mungu and kudura are two sides of the same myth, which is rooted in ignorance and manipulation. The more humans move away from ignorance, the more kudura and mungu are exposed to be myths.

"Mungu" and "kudura" are two words used widely to sweep under the rug that which we do not understand or do not want to deal with.

I could trace the idea of a false god (or gods) being tolerated and even promoted by a non-believing ruling class back to Cicero, Marcus Aurelius and even earlier Chinese and Egyptian dynasties. Marx was hardly original in observing that religion was the opiate of the people, the Romans had it perfected right up there with the games of Circus Maximus.The educated ruling class did not believe in the Olympian gods, or any gods at all. In fact it was a badge of honor for the senatorial families to be skeptics. This remains to be the case largely up to today, educated societies have learned to accept that god is one big hoax to keep the poor in check and maintain social harmony, that the personal godhead as presented in Abrahamic religions and most other cultures is not actual.

Let's try to understand phenomena, not sweep things under the rug and resign what we do not understand or are too lazy to investigate to "kudura" and "mungu".

Kudura na mungu ni wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…