Does everthing happen for specific reason?????

Does everthing happen for specific reason?????

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,091
Reaction score
1,386
It's my great honor to come before you, I trust you are doing brilliant this day..

Wana JF, ninapenda ku-share na nyinyi hili swala ambalo nimekuwa nikiliwaza wiki hii kwamba katika aspects zote za maisha ya binadamu lazima kuna vitu ambavyo tunakumbana navyo kwa pande zote mbili i.e postive and negative,

Mimi napenda ku-base kwenye negative kwamba je ni kweli kila kitu kinachokuja mbele yako ni kwaajili ya sababu maalum mbeleni au basi tu tunaunganisha matukio ili ku-justfy yale yanayotukuta???

Binafsi kuna mambo mengine naona ni "bad lucky" au kiimani naweza sema ni shetani/balaa/mikosi kwani sidhani kama kweli Mungu anakusudia kuturudisha nyuma na kutuvunja moyo kwa yale mabaya yanayotukumba..

Ningependa tujadili hili swala tukitoka nje kidogo "ki-imani" kwamba kwa atheists kama Kiranga yeye anaweza kuliona hili swala kwa mapana gani??

Lastly, Do you believe everthing happen for a reason??

Be Blessed abundantly..
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakupa kwa msimamo wa Waswahili.

"Jitihada haiondoi kudura"

Pia wanasema

"Riziki haiwanwa"

Yaani hata uhangaikeje, huwezi kukwepa maandiko, na chako utakipata tu bila ya kokoro
 
Najua kuna baadhi yanatokea kwa sababu maalum

Lakini siyo yote!!!!!!!!!
 
I shun absolutism as being mental arrogance, so naturally anything that talks about "everything" is suspect.

I would like to look at things in context.

The notion of cause and effect, at the fundamental fabric of spacetime at least, does not exist as a reality (the double slit experiment established the probabilistic nature of quantum phenomena a long time ago).Therefore, it is an illusion borne out of the poverty of the limited experience of our scale of the universe.

Now of course everything is in context, a lot of things happen for a reason.If you touch fire you will burn, there is cause and effect there.

If you sleep around without protection in an HIV ridden population, you will get HIV.

There is cause and effect there.

But break things down to a sufficiently low level scale of the universe, everything becomes probabilistic and causality breaks down, because time after all is not real, but a deep illusion.
 
Mimi nakupa kwa msimamo wa Waswahili.

"Jitihada haiondoi kudura"

Pia wanasema

"Riziki haiwanwa"

Yaani hata uhangaikeje, huwezi kukwepa maandiko, na chako utakipata tu bila ya kokoro

Lkini bila juhudi hukipati kamwe

Hata haya maisha ni yetu

Mafanikio nayo pia ni yetu

Lakini bila juhudi hutayapata kamwe!!!!!!!!!!!!
 
The notion of cause and effect, at the fundamental fabric of spacetime at least, does not exist.Therefore, it is an illusion borne out of the poverty of the limited experience of our scale of the universe.

Now of course everything is in context, a lot of things happen for a reason.If you touch fire you will burn, there is cause and effect there.

If you sleep around without protection in an HIV ridden population, you will get HIV.

There is cause and effect there.

But break things down to a sufficiently low level scale of the universe, everything becomes probabilistic and causality breaks down, because time after all is not real, but a deep illusion.

Hivi unadhani kila mtu anajua hii lugha?????????
 
Kila jambo linalotokea linasababu yake.....iwe jambo baya au zuri lakini ipo sababu.Na imani hiyo kabisaaaaa
 
Mimi nakupa kwa msimamo wa Waswahili.

"Jitihada haiondoi kudura"

Pia wanasema

"Riziki haiwanwa"

Yaani hata uhangaikeje, huwezi kukwepa maandiko, na chako utakipata tu bila ya kokoro

Kudura is one big farce dished out to pessimists, slaves, the oppressed, those with inferiority complex etc.

To ensure that they stay there forever while others lord it over them.

Sultani atawatawala watu na ku promote "jitihada haiondoi kudura", wasifikirie hata kujitahidi kumpindua.

This is basically the doctrine of predestination, basically "just accept your destiny and station in life already".
 
Lkini bila juhudi hukipati kamwe

Hata haya maisha ni yetu

Mafanikio nayo pia ni yetu

Lakini bila juhudi hutayapata kamwe!!!!!!!!!!!!

Wanachokusudia kusema ni kwamba, juhudi muhimu lakini haiwezi kufuta maandiko.

Kama umeandikiwa kufa kwa risasi, utakufa kwa japo stray bullet nyumbani kwako

Hiyo ni general opinion ya jamii ya Kiswahili.

Bila ya shaka humo ndani kuna variations kidogo kidogo

Kuna wanaosema kwamba since hujui kilichoandikwa ni muhimu to do all you can kujitafutia mafanikio

Na wanaosema mengine hujaandikiwa bali unajiandikia mwenyewe, hivyo ufanye bidii usijiandikie
 
Kudura is one big farce dished out to pessimists, slaves, the oppressed, those with inferiority complex etc.

To ensure that they stay there forever while others lord it over them.

Sultani atawatawala watu na ku promote "jitihada haiondoi kudura", wasifikirie hata kujitahidi kumpindua.

Kivipi?

Since kudura haijuulikani, ni vipi inawa-oppress?

Kwa sababu mtu hawezi kusema "hii ni kudra yangu" kwa sababu hawezi kujua

Hivyo kimsingi, kudura haitakiwi wala haina nguvu ya kum-oppress yoyote
 
Unaandika kwa nani???????????

Au unamuandikia nani???????

1. Atakayeelewa.
2. Ambaye hataelewa lakini ana uwezo wa kuelewa na kuuliza asipoelewa aeleweshwe.
3. Posterity. Future digital archaeologists wasije kushangaa forum nzima ya Watanzania hakuna hata mmoja aliyeenda Planckscale on a post.

Definitely not for the timid and pale.Neither the mentally frail.
 
Kwa sababu kudura inafundishwa na watu.

Since kudura haijuulikani, ni vipi inawa-oppress?

Kudura inajulikana, imeandikwa na watu na mpaka kupewa jina na watu.

Kwa sababu mtu hawezi kusema "hii ni kudra yangu" kwa sababu hawezi kujua

Just goes to confirm that the entire "kudura" thing is a farce.Kama haijulikani what's the point of invoking it? Kama haijulikani utajuaje kwamba inashinda jitihada?

Hivyo kimsingi, kudura haitakiwi wala haina nguvu ya kum-oppress yoyote

Unajuaje hilo bila kuijua kudura kama unavyosema wewe mwenyewe?
 
Are you in a mood for an exercise in futility?:smile-big:

Dude feels like being anti-pope.

Futility is right, the premise of the question is a futile myopic concept that one has to write to an audience, and that that auience must be understood and catered to, which in itself is a hindrance to expression and guaranteed to cut off others.

Say for example, one objects to my writing in English, if that indeed is what is bing objected to here.

There are concepts that do not have proper words in Swahili. There are concepts I do not know how to express myself about properly in Swahili. There are people who do not understand Swahili properly following this thread. So why should I limit myself with concerns that are futile anyway?

What else? The predilection to defer to the etreme minuscule in understanding the universe, there are valid arguments that the miniscule provide a window to reality that is distorted in our large scale observation. It follows then, when this window is exposed responsibly and with painstaking caveats to allow for context as done above, there is an opportunity to learn that absolutism is illusive and should be taken in context.

I am failing to see a serious critique, aside from the obvious garden variety proclivity for some members to self-appoint themselves as the anti-pope.

Those who would understand, wouldn't want me to budge.

And those who want me to budge, wouldn't understand even if I shifted a whole continent.
 
It's my great honor to come before you, I trust you are doing brilliant this day..

Wana JF, ninapenda ku-share na nyinyi hili swala ambalo nimekuwa nikiliwaza wiki hii kwamba katika aspects zote za maisha ya binadamu lazima kuna vitu ambavyo tunakumbana navyo kwa pande zote mbili i.e postive and negative,

Mimi napenda ku-base kwenye negative kwamba je ni kweli kila kitu kinachokuja mbele yako ni kwaajili ya sababu maalum mbeleni au basi tu tunaunganisha matukio ili ku-justfy yale yanayotukuta???

Binafsi kuna mambo mengine naona ni "bad lucky" au kiimani naweza sema ni shetani/balaa/mikosi kwani sidhani kama kweli Mungu anakusudia kuturudisha nyuma na kutuvunja moyo kwa yale mabaya yanayotukumba..

Ningependa tujadili hili swala tukitoka nje kidogo "ki-imani" kwamba kwa atheists kama Kiranga yeye anaweza kuliona hili swala kwa mapana gani??

Lastly, Do you believe everthing happen for a reason??

Be Blessed abundantly..

Aagh! Nashindwa kuchangia coz sijaelewa umelenga mabaya dizaini gani! Kwa mfano:
kuua au kumuumiza mtu?
Kuharibu mali ya mtu?
Uzinzi na ubakaji?
Au mabaya gani hayo?
Kama ni yote... Dah! Swali lako litakua na majibu mengi sana! Pengine hata hukulenga hapo....!
????!
 
Last edited by a moderator:
Now of course everything is in context, a lot of things happen for a reason.If you touch fire you will burn, there is cause and effect there.

If you sleep around without protection in an HIV ridden population, you will get HIV.

Shida inakuja pale ambapo unaweza ukaungua bila kushika moto let say umelala suddenly moto ukawaka na ukaungua, pia kwenye mfano wako wa pili kuna watu wanapata HIV/AIDS apart of having sex.. where is cause and effect on these??
 
Back
Top Bottom