NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
- Thread starter
- #81
Unajarbu kuambukza wenzako us*nge huna lolote CCM hampati tena
Matusi ya nini?
Mpwapwa na Rombo wapi kuna maendeleo??
Unajarbu kuambukza wenzako us*nge huna lolote CCM hampati tena
Ndo maana mirembe imejengwa dodoma ili kuwahudumia wa2 kama nyie
Kwa kuwa mimi ni mwananchi mzalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nilitegemea kulelewa na serikali inayayoendeshwa kwa kufuata misingi ya uhuru,haki, udugu na amani!
Na kwakuwa misingi hiyo ingeweza kutekelezwa tu na serikali inayoendeshwa kidemokrasia chini ya Bunge lililoundwa na wawakilishi wa Wananchi,na mahakama inayosimamia isiyofungamana na upande wowote katika shughuli zake za utoaji wa haki bila upendeleo.
Kwa kuwa serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sera zake,na kwa kuwa maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa duni,na kwa kuwa uhusiano wa wananchi umezidi kuwa wa mashaka,na kwa kuwa serikali ya CCM imeshindwa kusimamia taasisi nyingi zilizoko chini yake,Kwa kuwa Serikali hii imekuwa kama taasisi ya watu binafsi,kwa kuwa Serikali ya CCM haina Dira na imepoteza mwelekeo. Ni kwanini tunataka bado iendelee kuwepo madarakani...
Ni jambo gani ambalo wameshindwa kulifanya kwa miaka 50 ambalo wanaweza kulifanya tukiwapa iaka 50 minginge? Kwanini maisha ya Watanzania yaendelee kuwa ya majaribio?
CCM ya akina Ndugai,CCM ya akina Mwigulu,CCM ambayo hata wake za wakubwa wanasimama kama viongozi wa kitaifa,CCM ya wabadhirifu,wahujumu,wafanyabiashara wa mihadarati na Wawakilishi wa majibu mepesi kwenye maswali magumu! HAPANA...Iondoke tu! Ni makaburu wa akili tu wanaoweza kuishabikia CCM!
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Sio GT bali mbabaishajiArusha ina nini cha ajabu?
tombanyoko mrisya
huyu jamaa atakuwa yuko pale milembe anapata dawa. Mimi nimekaa Dodoma zaidi ya miaka 20. hivi karibuni nimehamia moja ya miji aliyotaja, Wakati nafika kila mtu ilikuwa shikamoo mzee, lakini sasa salamu ni habari yako mkuu. Nilipouliza mmoja aliniambia kuwa nilipokuja nilionekana mzee sana , makunyanzi tele ,lakini sasa ni kijana mwenzao. nilipokimbilia kioo nilishangaa, niliona sura ya mdogo wangu kwenye kioo kumbe ni mimi mwenyewe . Mizaa mingine bwana kama yako inakera sana. Baada ya kuwahurumia wenzako kwa kujaa mitaa ya nchi nzima kuombaomba we unafurahia !!!!!???!!.
Kwa ambao hawajafika Moshi msidanganyike! Mjini hamna kitu, watu wanajenga mlimani! Wachaga waoga wa kukaa mjini!!
Watu wa Mbeya Sugu kawavua nguo jamani!!
Tofauti ya Rombo na Mpwapwa ni ipi?
Tufikiri kwanza jamani!!
Wewe huijui Moshi..acha uwongo