Kuzalisha omba omaba wengi, na malaya kuhamia dodoma ndio MOSHI, MBEYA na MWANZA waige? shenzi wewe, umetukosea adabu sisi wa KOngwa...
>Dodoma hata ukienda kwenye ofisi ya waziri mkuu ni vumvi tu imejaa kwenye bati... Maskini dodoma bado nyumba ni za tembe tena ziko manispaa,,, moshi nzima hakuna nyumba yenye nyasi juu hata moja...
kifasihi umeongea vyema sana!! message hii ya dhihaka iwafikie wana dodoma wote na waone wanachofanya!!
Kuna haka katimu
Ndugai - Kongwa!
Teu - Mpwapwa! na
Simbachawene - Kibakwe!
pamoja na nafasi walizonazo serikalini. hakuna walichofanya kabisaa!!
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.
Mbona hutaji Arusha? Au.........?
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

>Tatizo wewe hujatembea ukaona wewe...
Wewe sio wa kawaidg sijui wamekutoa lini pale Mirembe hospital mpaka ukapata nafasi ya kuchangia humu, nitakata rufaa urudishwe huko huko kwenye makazi yako unakostahili.
Mleta thread endelea kuota ndoto za mchana tuu....
tombanyoko mrisya
Umevurugwa
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.