Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
je unayo takwimu ya kiwango cha elimu kwa mkoa wa dodoma ? Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
teh teh, mkuu dodoma hali ni mbaya sana kimaendeleo, nenda kongwa, mpwapwa, kondoa, na kwingineko hali ni mbaya! Dodoma ni miongoni mwa mikoa maskini sana! Ccm ni janga, wananchi wa dodoma jiangalieni upya!Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
subiri mwaka 2015 uöne ccm itakavyogalagazwa, job ndugai aishie kuwarubuni watu wa kongwa na si kuligeuza bunge letu kama tawi la ccm!Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.
Kwani maendeleo hujui yanavyopimwa kijana??
Mimi nimeishi Moshi muda mrefu sana! Wachaga wanajenga vijijini, mjini kuna nyumba za zamani na za ajabu.
Dodoma kuna mabadiliko naishukuru sana CCM! Mwanza mtaharibu mji wenu bure kwa kuichagua CHADEMA msirudie tena!
Mbeya mjini kitendo alichofanya SUGU hakifanani na nyie kabisa, mlitoka nae wapi jamani. Mimi watu wa Mbeya nawajua sio hulka yenu ile.
N:B Chadema bado mnahitaji kujifunza siasa SAFI!
teh teh, kwikwii!mmh kuharakisha maendeleo kama dodoma au? mara yangu ya kwanza kukanyaga dodoma sikutaka kuamini kuwa ndo ipo vile, nafikiri dodoma inaweza kuwa tatu bora kutoka mwisho kwa mikoa yenye maendeleo
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Kaka!!!!!Nikwasababu CCM iliwanyima elimu, na sasa wameamka, uchaguzi wa serikali vijiji vya Mphangwe na Mlongia CCM imepigwa chini kwa asilimia nyingi huko dodoma mwezi uliopita..
CCM imeshindwa kuleta maendeleo kwa MIAKA 50,wataweza sasa(CCM IMESHINDWA KULETA MAENDELEO MCHANA KWENYE MWANGA WA MUNGU,ITAWEZA USIKU KWA MWANGA WA MZUNGU?).Eti Baba CCM haikutakata mtoni,inataka kutakatia bafuni,itaweza kweli,aaaaaaaaaah....CCM ni mnara wa BABERI ni lazima uanguke 2015.Habari wana JF!