DODOMA wameweza, MOSHI, MBEYA na MWANZA tuige!

DODOMA wameweza, MOSHI, MBEYA na MWANZA tuige!

Kama dodoma wameshapata maendeleo waje kuchukua watoto wao ombaomba hapa dar wanatusumbua kwenye foleni
 
Naomba unisaidie!
Ni sehemu gani ya Moshi unaweza kuifananisha na Area D, Area C, Area E au hata Nkuhungu??

Sawa
1.soweto yote
2.kuanzia uwanja wa golf karibu na mto karanga mpaka YMCA then panda juu mpaka KCMC tunaita uzunguni mpaka international school.
3.majengo,mji mpya
4.chekereni kuanzia kiwanda cha soda
5.kibosho..
Hizi ni baadhi chini ya mbunge Ndesamburo..Na mji ni msafi kama huamini fika moshi dondosha vocha iliyotumika au aina yoyote ya uchafu.majibu lete hapa.
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Kuna mikoa ya kuiga lkn si Dodoma, inaigwa mikoa iliyoendelea. Wahurumie Dodoma mtu akinyimwa elimu ni utumwa, Mbeya waige Dodoma?
 
Mimi nimeishi
Moshi muda mrefu sana! Wachaga wanajenga vijijini, mjini kuna nyumba za
zamani na za ajabu.

Dodoma kuna mabadiliko naishukuru sana CCM! Mwanza mtaharibu mji wenu
bure kwa kuichagua CHADEMA msirudie tena!

Mbeya mjini kitendo alichofanya SUGU hakifanani na nyie kabisa, mlitoka
nae wapi jamani. Mimi watu wa Mbeya nawajua sio hulka yenu ile.

N:B Chadema bado mnahitaji kujifunza siasa SAFI!

We umekaa miaka mingi, sisi ndo wazawa na tunapambana kuiweka moshi level nzuri! We hujiulizi uliwahi kumuona mgogo mwenye mafanikio moshi? ila Dodoma wameikamata wachagga naweza kusema uchumi wa Dodoma kwa zaidi ya 60% umeshikiliwa na wachagga.
 
Sijui kama mimi ndio namwelewa tofauti mleta uzi? Nahisi alikua anawakejeri watu wa Dodoma kwa kuichagua ccm amara zote while mikoa aliyoiweka kama sample kwa upinzani inamaendeleo zaidi ya Dodoma pamoja na kwamba vikao vya Bunge na ccm hao hao huafanyikia mkoa huo! So binafsi nampongeza kwa kuwafumbua macho wana Dodoma!
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

Unamaanisha maendeleo katika mkoa wa Dodoma ndio makubwa kulinganisha na mikoa ya Mwanza, Mbeya na Moshi?? Au umetumia fasihi kufikisha ujumbe kwa wananchi wa mkoa wa Dodoma??

Nategemea Dodoma watakua wamekuelewa vizuri na mwaka 2015 hawatarudia KOSA walilofanya mwaka 2010.
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

Kwa kuwa haujui hali ya umaskini, miundombinu mibaya na hali mbaya ya huduma za jamii katika maeneo mengi ya mkoa wa Dodoma, sishangii kuona kauli kama hii. Nimeishi na kufanya kazi Dodoma kwa miaka zaidi ya 10 sasa. Nafahamu maeneo mengi ya vijijini katika mkoa huu. Kwa kifupi ni kuwa ni mkoa ambao uko nyuma sana kimaendeleo katika nyanja karibu zote ukilinganisha na mikoa uliyoitaja. Ni mkoa ambao hauna wawakilishi makini wa wananchi kwenye majimbo karibu yote bali una watu wanaojiita wabunge lakini kimsingi ni watetezi wa sisiemu na serikali yake.

Kwa kukumbusha tu ni kwamba, kwa sasa mkoa wa Dodoma una majimbo na wabunge wafuatao: Lusinde aka kibajaji au kamusi ya matusi (Mtera), Teu ambaye pia ni naibu waziri wa viwanda (Mpwapwa), Simbachawene, naibu waziri wa nishati na madini (Kibakwe), Chibulunje (Chilomwa), Badwel (Bahi), Nkamia (Kondoa Kusini), Zubein Mhita (Kondoa Kasikazini) na Malole (Dodoma Mjini).

Tuweke ushabiki wa chama pembeni, nani kati ya wabunge hawa ni watetezi wa wananchi na maslahi ya Taifa? Je, uliwasikia kwa mara ya mwisho lini wakichangia mijadala bungeni au hata tu kuuliza swali la nyongeza (ukiaacha hao manaibu waziri)? Kwa mara ya mwisho walionekana majimboni kwao lini kuzungumza na wananchi au kuhamasisha shughuli za maendeleo?

Hii ni picha ya jumla tu, lakini ninaweza kueleza hali ya jimbo moja baada ya jingine, kijiji baada ya kijiji... kutoka Nondwa, Chali Makulu, Mpangalanga (Bahi); Potea, Mulua, Mondo (Kondoa Kaskazini); Bilise, Chase, Humekwa, Lalta (Kondoa Kusini), Chamae, Sagara (Kongwa) hadi Mpwayungu (Mtera) na Zuzu, Mbabala (Dodoma Mjini).

Kwa kifupi umaskini na ujinga wa wananchi katika maeneo haya ndio umeendelea kuwa mtaji wa CCM kwa miaka mingi. Taratibu sasa wananchi wanaanza kuona mwanga na kugundua kuwa wamedanganywa vya kutosha, wamedhulumiwa vya kutosha, wamedhalilishwa vya kutosha...na sasa karibu watasema sasa yatosha!
 
mwelevu hupima mambo yanatokea na kugundua au kutafuta njia mbabala ya kukabiriana nayo, -------- hurudia makosa yaliyopita ili kutatua mambo yanayotokea akiamini kwa awamu hii atashinda. guote from Fredrick Maziku at youth fellowship in Mwanza
 
mikoa mitano inayojitahidi kwa maendeleo, dar, mwanza, arusha, mbeya na kilimanjaro,
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

Kokote ambako ombaomba ni wengi, lazima iwe hivo maana wanasubiria kupewa kofia, chumvi n.k kila baada ya miaka mitano. Wale akili zao bado finyu sana hawajitambui ndo maana wanafanya hivo. Ukitaka kuamini hilo, muangalie Lusinde anachochangia kila nanapopata nafasi ya kuongea bungeni. Anasema watu wake kule hawataki katiba hata siku moja, wanataka maendeleo tu, sasa sijui yatakujaje kama hakuna sheria ya kuongoza. Yaani mbuzi kwa kweli, na wataendelea kukosa maendeleo mpaka mwisho sababu wanapenda kuombaomba tu, na sisiem wanataka watu kama hao wasio na fikra.
 
1234207_513522615400730_1874989735_n.jpg
 
Dodoma ni Mji , tuache uongo huwezi kulinganisha na Mikoa Mingi ya Tanzania , mikoa mngi imejaa nyumba za tope , fika Ntwala, singia , Iringa , Mbeya . Karibu Dodoma uone acha ushabiki
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

natamani kutukana hata tusi lakini naoheshimu JF tu. lakini lazima una matatizo ya ubongo tu wewe
 
Sijui kama mimi ndio namwelewa tofauti mleta uzi? Nahisi alikua anawakejeri watu wa Dodoma kwa kuichagua ccm amara zote while mikoa aliyoiweka kama sample kwa upinzani inamaendeleo zaidi ya Dodoma pamoja na kwamba vikao vya Bunge na ccm hao hao huafanyikia mkoa huo! So binafsi nampongeza kwa kuwafumbua macho wana Dodoma!

Am with you 100% on that!
 
Back
Top Bottom