Dodoma: V8 ya milioni 140 mali ya Serikali yauzwa kwa milioni 4.9

Kama imenunuliwa mili 140 basi itakuwa imetumika zaidi ya miaka 10 na useful life ya gari ni 5 years inaweza kuwa sawa kuwa na hiyo disposal value kama ukiangalia wear and tear.

Nina uhakika ilifanyika tathmini ya kuuza mali chakavu na likaonekana lina bei hiyo ya kuuza
 
Comment za Watanzania wapumbavu ukizosoma unaweza kuchefukwa.

Taarifa ya ajabu na maudhi kama hii jitu linakuja kuandika comment ya ajabu kana kwamba hicho kilichofanywa ni halali! Mtaendelea kutangishwa hadi kamasi ziwatoke utosini.
Mkuu ndiyo maana wanasema ni rahisi sana kututawala hata miaka 100..
 
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!

Chanzo: Darmpya
Labda ni jipya ila matairi kipara
Gari ni upepo
Nyumba ni choo

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Comment za Watanzania wapumbavu ukizosoma unaweza kuchefukwa.

Taarifa ya ajabu na maudhi kama hii jitu linakuja kuandika comment ya ajabu kana kwamba hicho kilichofanywa ni halali! Mtaendelea kutangishwa hadi kamasi ziwatoke utosini.
Sasa ulitaka ikae parking mpaka ioze. Acha mtanzania mwenzetu akaitumie. Hata kama angechukua bure ni sawa tu, hakuna mbaya.
 
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!

Chanzo: Darmpya
Kama life span yake imeisha ni sawa, pia inategemea gari ilinunuliwa ukiwa juu ya mawe au inatembea so kuna maelezo hayajanyoka. Bi kawaida gari kuuzwa baada ya muda fulani.
 
Hapo ukute alitaka auziwe kapigwa chenga ya mwili kauziwa mtu mwingine kwaiyo wanamwaga mboga ili kuchafuana
 
Comment za Watanzania wapumbavu ukizosoma unaweza kuchefukwa.

Taarifa ya ajabu na maudhi kama hii jitu linakuja kuandika comment ya ajabu kana kwamba hicho kilichofanywa ni halali! Mtaendelea kutangishwa hadi kamasi ziwatoke utosini.
Wewe ndiye wa ajabu-mbona 4.9 m ni nyingi maana ki uhasibu thamani ya hilo gari ni TZS 0.00
 
Kuna kitu kinaitwa depreciation... Inawezekana kwenye vitsbu tamani yke imeshafika 0 thus hio 4.9 ni income kwa halmashauri.
Huyo Mkanwa Wilaya yake ya Mpwapwa ilikuwa haina maji muda mrefu akiwa Meya miaka 20 iliyopita, wakija wafadhili Wazungu anawakimbia 'maimuna' atajua kweli depreciation?. Anatafuta Kiki, magari mengi ya Serikali au taasisi za Umma ukitaka kufuata taratibu yote ni screpa.
 
Kwani principles za valuation za magari zinasemaje? Tusilete hisia.

Mwaka wa kwanza inapungua by 24%, miaka inayofuata inapungua by 15% kila mwaka. Lina miaka mingapi hilo gari?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Comment za Watanzania wapumbavu ukizosoma unaweza kuchefukwa.

Taarifa ya ajabu na maudhi kama hii jitu linakuja kuandika comment ya ajabu kana kwamba hicho kilichofanywa ni halali! Mtaendelea kutangishwa hadi kamasi ziwatoke utosini.

😂 😂 😂
 
Watu wameona hakuna namna, kilichobaki ni kupunguza stress na hasira tu. Nchii hii ukiwa serious unajitesa bure, viongozi wote wapo bize na ishu zao, Unasababisha hasara ya 100 Bilioni unalipa 8 milioni. Wala sio wapumbavu, wamewadharau tu na hilo v8 halirudi sababu aliyenunua lazima ni mwana CCM.
 
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!

Chanzo: Darmpya
Hakuna cha ajabu hapo,ccm huwa wanajimilikisha tu awamu zote ndio hufanya hivyo
 
Bongo myosotis, unanunua gari kwa mshahara wa mwezi mmoja na change inabaki.
 
Back
Top Bottom