Dodoma: V8 ya milioni 140 mali ya Serikali yauzwa kwa milioni 4.9

Comment za Watanzania wapumbavu ukizosoma unaweza kuchefukwa.

Taarifa ya ajabu na maudhi kama hii jitu linakuja kuandika comment ya ajabu kana kwamba hicho kilichofanywa ni halali! Mtaendelea kutangishwa hadi kamasi ziwatoke utosini.
Yani unaweza kupasua cm utafikiri sio kod zao
 
Wahuni wakubwa. Kwa wenzetu mali ya serikali huuzwa kwa mnada wa wazi. Mnada unakaa hata wiki watu wanabid bei.

Hivi serikali yetu haina website ya kuendesha minada ya maki zake? Hata kama kitu kimedepreciate bado kwa kutumia mnada kinaweza uzwa bei nzuri sana.
 
Kumamake, hapa ndio ugumu na uchungu wa kulipa kodi unapokuja sababu ya serikali dhalimu kama hii..
 
Hongera kamati endapo Wizi umetokea, kisha wizi mkaufichua najua hapo kuna wanyonge hawatawapongeza maana wangefurahi kweli samia angesimama akatangaza hili kisha akatumbua🤣.

Watatukana tukana kama enzi za uhuru wa maoni uliopitiliza wa awamu ya waliyemuita dhaifu.
 
Kuna kitu kinaitwa depreciation... Inawezekana kwenye vitsbu tamani yke imeshafika 0 thus hio 4.9 ni income kwa halmashauri.
Assume depreciation ya 10% kwa mwaka Ina maana baada ya miaka kumi bado value ingekua ova 10m.
Aliyenunua lazima Ni hao hao wakubwa.
 
Back
Top Bottom