Dodoma: V8 ya milioni 140 mali ya Serikali yauzwa kwa milioni 4.9

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!

1629727242612.png

Chanzo: Darmpya
 
Huku wananchi tunakamuliwa (tozo mbali mbali) kwa maendeleo ya nchi,.. yet mapato yanavuja kirahisiii Duh
tunasafari ndefu sana ya kusaka maendeleo

Si bora ingegeuzwa kuwa ambulance ya hospital? Ama ingebadilishwa na gari ambayo itakidhi vigezo vya ambulance
 
Comment za Watanzania wapumbavu ukizosoma unaweza kuchefukwa.

Taarifa ya ajabu na maudhi kama hii jitu linakuja kuandika comment ya ajabu kana kwamba hicho kilichofanywa ni halali! Mtaendelea kutangishwa hadi kamasi ziwatoke utosini.
Walgi na wafaidika wa hizi mbinu chafu huwa hamjifichi

wekeni public auction kama Balozi na mashirika mengine ya kimataifa yanavyofanya
 
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!

Chanzo: Darmpya
Bila picha taarifa haijakamilika.
 
Dodoma!

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!

Chanzo: Darmpya
Unashangaa nini? Lipa kodi acha kulalamika

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom