Dodoma ni kutamu jamani

Dodoma ni kutamu jamani

Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,

Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,

Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.

Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000

Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.

Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna

Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze

Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii

Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.

Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum

Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha

Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha

Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.

Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Home sweet home!!
 
Katika majiji yote Afrika Mashariki na Kati Dodoma inaongoza kwa usalama wa hali ya juu....sijawahi kusikia tukio lolote kubwa la ujambazi kwamfano uvamizi wa benki
Huenda hawaoni cha kuiba. Kama kikiwepo watakuja
 
Bambalaga , na chako ni chako Texas viko vingi mno ukienda makole ndio utachoka
Bambalaga siku hizi imepoa sana nilienda nikarudi tu rainbow. Huko kwingine ntapita nibadili mazingira kama si mbali maana huwa napendelea jirani na Hotel ninayofikia
 
Akili yko ndio imeishia hapo , jua usalama ukiwa mkubwa hata wezi wanaogopa tatizo vichwa maji ni wengi mno , kwa mfano ikulu ulishawai sikia majambazi wameiba na ndo kwenye hazina ya taifa , Ina maana wezi hawaoni ?
Kwa akili yako ikulu jambazi ataiba nini
 
Huenda hawaoni cha kuiba. Kama kikiwepo watakuja
Akili yko ndio imeishia hapo , jua usalama ukiwa mkubwa hata wezi wanaogopa tatizo vichwa maji ni wengi mno , kwa mfano ikulu ulishawai sikia majambazi wameiba na ndo kwenye hazina ya taifa , Ina maana wezi hawaoni ?
 
Bambalaga siku hizi imepoa sana nilienda nikarudi tu rainbow. Huko kwingine ntapita nibadili mazingira kama si mbali maana huwa napendelea jirani na Hotel ninayofikia
Sio poa watoto wa chuo ni nomaaa
 
Hiyo sio 5 Star acha kudanganywa. Hamna 5 Star Hotel Dodoma labda wa-upgrade napo itachukua muda, maana hii ilikuaga 3 Star labda wapande hadi 4
Zinajengwa nyingi tu we subili ndani ya miaka miwili
 
Sehemu ndogo sana dodoma ndo ipo vizuri majority ya wakaz wa dodoma wanaishi terribly. Sababu ya Lindi la umasikini.
Umasikini kote tz upo , ila unazidiana mkuu , Hadi nchi zilizoendelea , ni ngumu kumefanya mtu wa kijijini kuwa kama wa mjini , ila utakuta mtu wa mjini hakuna anachomiliki , umkute mtu kapanga chumba kajaza fenicha isiwe tikert ya kumuita mtu mwenye mifugo kijijini ni maskini
 
Back
Top Bottom