Dodoma ni kutamu jamani

Vumbi hamna huko?
Tanzania nzima hakuna mji wenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma...na bado wanazidi kupendelewa na serikali kuongezewa nyingine kilasiku kwamfano Outer Ring Road zaidi ya kilometres 110 inajengwa kwa kiwango cha lami tena njia nne.Tangu tupate uhuru hakuna mji wowote umewahi kujengewa barabara ya lami yenye urefu wa zaidi ya km 100 ndani ya mji husika(within town compound). Dodoma ukwame wapi kila sehemu lami tupu.Ukienda City Centre mjini barabara za vumbi ni za kutafuta kwa tochi...huwezi kulinganisha na mji wowote Tanzania
 
Kabisa mkuu
 
Vumbi na Jua Kali
Hakuna maji mfano hapa Chaduru ninapokaa
-Kati ya Dom na Dar wapi kuna juakali na joto😀😀Dar lazima utembee na kitambaa cha kujifutia majasho Dom hali ya hewa ni wastani kwamfano kuanzia mwezi wa tano hadi septemba ni baridi kali kamavile Iringa.
-Usiseme hakuna maji sema maji yapo ila yanatoka kwa mgao mitaa mingine maratatu kwa wiki,mingine maranne kwa wiki na mingine maji yanatoka kilasiku mfano Mkalama,Makulu kwasababu wapo kwenye mwinuko karibu na tanki la maji mlimani. Alafu Tanzania nzima hakuna mji wowote utapata mitaayote maji yanatoka 24/7 mwakamzima
 

Ukilinganisha na wapi?

Umeshajaribu maeneo mengine kama vile Arusha na Mwanza n.k ?
 
Wewe kweli hamnazo.
Wewe ni pimbi.
USA unaenda Paris kisha unarudi Washington😄😄😄😄
Kiande mmoja wewe.
Pimbi usiyejua kuandika Kiswahili ndio unataka ujifananishe na mimi? Mpumbavu mmoja wewe.
 
Wewe kweli hamnazo.
Wewe ni pimbi.
USA unaenda Paris kisha unarudi Washington[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kiande mmoja wewe.
Pimbi usiyejua kuandika Kiswahili ndio unataka ujifananishe na mimi? Mpumbavu mmoja wewe.
We boya tu huna lolote kama kidume lusha ngumi
 
Kabisa umesema kweli kabisa
 
Watanzania ifike point tukubali uhalisia na tuchukue kama funzo kwa majiji mengine, Kwa sasa jiji lenye future angalau inayoeleweka ni Dodoma, Jiji limepangwa vizuli, Miundombinu mizuli ipo na inaendelea kujengwa, Huduma za hadhi ya juu Afya, Elimu n.k na hapo wanamalizia International Airport zile Fly Emirates, Ethiopia Airline n.k tutaanza kuona mikia yao hapo. Wizara ya Ardhi badala ya kung'ang'ana na magorofa ingejikita kwenye kuokoa miji yetu bado hawajachelewa, wapange miji unaweza kua na nyumba ya kawaida kabisa lakini imejengwa kwenye maeneo yaliyopangwa ikavutia kabisa kuliko hii staili ya ukuaji wa miji ya sasa, Miji inaharibika sio mchezo kwa Dodoma nawapa salute ila haya majiji mengine sijui Dar, Mwanza, Arusha na kwingineko kulikopangwa ni katikati ya Miji tu huko kwingineko ni tafrani kila mtu anajenga akili yake inavyomtuma na tatizo ni mamlaka kukwepa kuwajibika, suala la Ardhi sio la kuachia mtumishi mmoja mmoja ni la kutengewa bajeti hasa wanaweza kuwapanga watu na kuwaacha kwenye maeneo yao ila serikali ilipe fidia maeneo yatakayotwaliwa kwa shughuli za kijamii na miundombinu, Hii staili ya sasa haifai na Migogoro haitaisha.
Note: Naiona future ya Dodoma kwingine kulikobaki tia maji tia maji
 
Exactly
 
Umeongea point sana mazwazwa hawatakuelewa , wale wa vingunguti akili zao hua zinaishia kwenye kugombea daladala na kupita madilishani kama manyani
 
Wewe punga tu. Yaani mtu hujui hata kuandika utaniambia nini?
Wewe ndie punga mke wa Sean Paul, mtu na akili zako utumie jina la mwanaume mwenzio itakua wanakukanda wewe sio bule, unashindwa hata kujikubali , kama wewe unamfagilia mwanaume mwenzio, je mkeo afanyaje
 
Wewe ndie punga mke wa Sean Paul, mtu na akili zako utumie jina la mwanaume mwenzio itakua wanakukanda wewe sio bule, unashindwa hata kujikubali , kama wewe unamfagilia mwanaume mwenzio, je mkeo afanyaje
Sio bule, ni BURE pimbi wewe. Nishakwambia kwanza kajifunze kuandika.
Huyo Sean Paul unayemjua wewe ana hatimiliki ya majina hayo?
Do you know the rationale behind this ID? Just shut the fvkc off.

We unajiita George Aloyce, unadhani uko peke yako dunia nzima? Unamfahamu George Aloyce Kimaryo? Huyo ni Mtanzania mwenzako kabisa. Au kisa Sean Paul ni maarufu?
Mkeo na watoto wako ndio kichwa chao cha familia? Ambaye hujui kutofautisha R na L😄😄😄😄 what a joke?
Kuna watu wana bahati mbaya, unapata baba na mume zuzu kama wewe🤣🤣🤣
Jifunze kwanza kuandika.

Sasa nakupa hii, kila ukikosea kuandika wewe ni shoga mpaka ujue kuandika.
 
Sawa mke wa Sean paul
 
We mke HALALI wa Sean Paul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…