RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,769
- 129,509
Tupo mkuu, kuna nini hapa?Wale wa tandare mpo , wale wa vingunguti
Tupo mkuu, kuna nini hapa?Wale wa tandare mpo , wale wa vingunguti
Vip joto limeanza hukoTupo mkuu, kuna nini hapa?
Joto limepungua mkuu at least tunalala ndani maanake tulikuwa tunalala nje.Vip joto limeanza huko
Gov = government,Hilo govi ulilionaje au alikuweka ,
Nakuja huko soon, japo wiki iliyopita nilikua huko palikua Kila sehemu mabwawa tu Hadi kaliakooJoto limepungua mkuu at least tunalala ndani maanake tulikuwa tunalala nje.
KabisaHakika Magufuli ametuheshimisha Dodoma ,kias sshv wanaDom hatujakaa kinyonge bana
Dom tamuuKila mahala kuna uzuri na ubaya wake.
Tena sanaaUmetembelea na Makulu mzee!? Mji wetu unabadilika ,we are safe ,we are clean hapa nazungumzia usafi wa watu mjini sio mji km mji, sasahv hatuna mpango wakukimbilia Dar wala Mwanza tunataka na wao waje Dodoma
MhuDodoma kiukweli inabadilika sana hadi unaweza potea ramani kama hujaenda muda kidogo. Kuna vibe ndio ila viwanja ni vichache na ni vilevile, hata sura unaweza zikariri hasa kwa vipindi ambavyo hamna bunge...hasa maeneo ya rainbow ambako ndo panabamba sana. Pia kwenye mahotel bado sana yaani ni 3 stars tu ndio mwisho na hata huduma zao haziko standardized. Japo panakua kwa Kasi, Dodoma bado pana standard ya chini kidogo ukilinganisha na Arusha au Mwanza..Dar hata tusiitaje
UmejuajeAisee..
Hii ndo imebeba uzi
Tunadumu kwenye imaniWE UNA TOFAUTI NA MAGU UNAOMBA MUNGU COVID ITOKE
DuMie mnyamwanga,currently in Rock city
KabisaKatika majiji yote Afrika Mashariki na Kati Dodoma inaongoza kwa usalama wa hali ya juu....sijawahi kusikia tukio lolote kubwa la ujambazi kwamfano uvamizi wa benki
KabisaDodoma ni Swanu sana
Wakija zinduka tutakua tunawapangisha mijengoDodoma tunafaidi sana,dodoma kutamu .
Hilo ni tatizo Africa nzimaDodoma hiyo?
Wanafuga n'zi na m'bu .
Kuelewa ndio kaziAcha uongo eti 3 stars hotel ndio mwisho.....Bestern Western City Hotel ni 5 star hotel
Muda wote nipoUmeenda kipindi cha bunge ndo maana
Kunuka kumooKama darajani kwa kijazi pananuka vipi kivukoni ferry? Ila Dar es salaam ni dream ya kila mtu.