Dodoma ni kutamu jamani

Dodoma ni kutamu jamani

We ni boya kweli aliekwambia kashindwa maisha ni nani mjanja anatafuta kokote ,tatizo huna akili ukiona mtu kaenda sehemu nyingine kupambana unamuona kashindwa , ndio nyie mliojazana kwenye nyumba za urithi tandare
We sema ulijenga nyumba Ili uishi Mjini ulipoona pamekuchapa za uso ukakikimbia bwege wewe Mjini panahitaji akili endelea kukaa na mifugo huko porini
 
Vumbi na Jua Kali
Hakuna maji mfano hapa Chaduru ninapokaa
Hakuna vishoka wa maana
Kila Ijumaa kuanzia saa 6 mchana mabasi ya kwenda DAR yanajaa...watumishi wanageuka madenti..Jpili Kwa magufuli wanarudi shingo upande
Bar zote mnakutana wateja wale wale
V8 Ijumaa zinatoka ,mbio kwenda Dar
Bado wafanyabiashara wakubwa hawataki kuhamishia investment zao Dom---
Anyway Hongera Serikali mnajitahidi
Kwa mjini hakuna vumbi itakua unakaa kizomoche au upo kigoma, pili watoto wa chuo wapo wanauludi na wanaokaa kwa sababu ni makwao lazima waende , pili Jiji la dodoma na dar limefanywa pacha ili watu waende dar au Dom kwa ulahisi , kwa mfano mwendo Kasi itakavoanza itakua dar unatoka asubui Dom saa tatu asubui hiohio, huduma kiufupi zimeingiliana kwa majiji yote mawili, kiufupi hata USA mtu huenda Paris kula Bata na kuludi chap Washington hio ni kawaida ila we zumbukuku huwezi kuelewa , unataka ugande sehemu moja Kama mdoli ya kuvalishia nguo dukani, badilika mkuu
 
We sema ulijenga nyumba Ili uishi Mjini ulipoona pamekuchapa za uso ukakikimbia bwege wewe Mjini panahitaji akili endelea kukaa na mifugo huko porini
Tatizo huna akili hata muda huu navoongea Niko dar kwangu , na Kodi ninazopata naweza ishi hotelin siku zote za uhai wg na mahitaji yg nikakizi, wajanja tunaizunguka nchi tunaizunguka Dunia we endelea kukaa hapo vikindu maendeleo yakukute hapo
 
Endelea kukomaa vingunguti ,sisi wa mkoani tukija huko tuwagongee wake zenu tuwape pesa za vikoba marejesho
Njoo na pesa zako za porini ziliwe na wajanja zikiisha urudi kwenu porini mjini tunahitaji wanaoweza kuchangamsha ubongo we wa kazuramimba na Dar town wapi na wapi bwege wewe 😂
 
Tatizo huna akili hata muda huu navoongea Niko dar kwangu , na Kodi ninazopata naweza ishi hotelin siku zote za uhai wg na mahitaji yg nikakizi, wajanja tunaizunguka nchi tunaizunguka Dunia we endelea kukaa hapo vikindu maendeleo yakukute hapo
Unaweza kuwa na nyumba Dar bado vile vile ukawa kiande tu kujenga nyumba zako siyo ndo kuja kututambia humu tukisema tuanze na sisi kuorodhesha nyumba tulizonazo hadi huko porini kwenu itakuaje???
 
Mimi sijavimba ila nimeongelea mkoa wa dodoma na raha zake na changamoto zake , Sasa washamba mkadandia mada na kutaka kuleta ligi , nikwambie ukweli mimi ni mzawa wa dar kabisaa Tena nimesoma dar nimekulia dar na nimeishi dar na Hadi sasa naishi dar, ila kwenye kutafuta na kupambana nikaenda Dom nikaona fulsa kibao na raha za kule nimewekeza pia , Sasa ukute mtu kama wewe ndio unaleta ligi nakushangaa sana
 
Sawa mkuu 🙌 nitafutie kiwanja huko Dom ila nihakikishie Kwanza kama vumbi limepungua kwa sasa 😁
 
Mkubali mkatae Dodoma ime advance sana na hongera ziende kwa late mr President Magufuli...mimi Dodoma nilishakuja miaka ya 2000 wakati niko shule ziara Bungeni...Dodoma ilikua mbaya jamani mbaya kweli kweli jangwa haswaa upepo unavuma kama tupo kalahari dessert..
Ila baada ya kuhamia rasmi na serikali..Dodoma ime change ghafla..viwanja vya kuburudika vipo vy kumwaga,majengo yanainuka kwa wingi tena maghorofa ya hatari..kuna ghorofa la mahakama...Judiciary sijui lipo hapo makulu karibu na sgr ni noumaa huyo architecture nimemkubali...in short Dodoma kwa sasa kuna vutia...hali ya hewa ni nzuri..watu wamepanda miti bila shuruti unakuta nyumbani kwa mtu ni greenish mpk raha...
 
Dodoma kunakua sana,mara ya mwisho naenda zangu dom nilijua naenda kimkoa flan hivi cha hadhi ya chini,dah nilichokikuta nikabaki kuenjoy tu na kunyoosha mikono juu,serikali ikaze buti tujivunie mji wetu mkuu.
 
Kabisa mkuu
 
Limepungua kwa kiasi kikubwa...ile kampeni ya miti imesaidia sana...miti kila kona..na pia ujenzi wa maeneo yaliyokua wazi nyumba za wahamiaji zimesaidia kupunguza ile free movement ya upepo iliyokuwepo.. in shor Dodoma town maeneo yamejaa inajengwa kwa kasi..
Vizur kwa kuliona hilo
 
Mkubali mkatae Dodoma ime advance sana na hongera ziende kwa late mr President Magufuli...mimi Dodoma nilishakuja miaka ya 2000 wakati niko shule ziara Bungeni...Dodoma ilikua mbaya jamani mbaya kweli kweli jangwa haswaa upepo unavuma kama tupo kalahari dessert..
Ila baada ya kuhamia rasmi na serikali..Dodoma ime change ghafla..viwanja vya kuburudika vipo vy kumwaga,majengo yanainuka kwa wingi tena maghorofa ya hatari..kuna ghorofa la mahakama...Judiciary sijui lipo hapo makulu karibu na sgr ni noumaa huyo architecture nimemkubali...in short Dodoma kwa sasa kuna vutia...hali ya hewa ni nzuri..watu wamepanda miti bila shuruti unakuta nyumbani kwa mtu ni greenish mpk raha...
Sasa mtu ukimuambia haya analeta masihara ya vingunguti
 
Dodoma kunakua sana,mara ya mwisho naenda zangu dom nilijua naenda kimkoa flan hivi cha hadhi ya chini,dah nilichokikuta nikabaki kuenjoy tu na kunyoosha mikono juu,serikali ikaze buti tujivunie mji wetu mkuu.
Kabisa
 
Back
Top Bottom