Dodoma ni kutamu jamani

Dodoma ni kutamu jamani

Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,

Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,

Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.

Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000

Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.

Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna

Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze

Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii

Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.

Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum

Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha

Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha

Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.

Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Siwezi kumheshimu Wala kumuamini mtu R na L zinampiga chenga kuandika.
 
Sawa mke wa Sean paul
Sean Paul mwingine huyu wa Nowpsych, maku wewe.
Eti natumia jina la mwanaume mwezangu........do you know my real name?
Kama mi naitwa Paul na mwanangu ni Sean........nikaamua kuifanya ID yangu jina la mwanangu kuna tatizo?
Tatizo umekariri Sean Paul duniani ni mmoja tu. Maku we.
 
Attachments

  • IMG_20240422_231801.jpg
    IMG_20240422_231801.jpg
    129.6 KB · Views: 18
Siwezi kumheshimu Wala kumuamini mtu R na L zinampiga chenga kuandika.
Mimi simheshimu, namdharau na siwezi kukaa naye kufanya mjadala wowote. Yaani kama ni demu nilichukua namba, siku hiyo hiyo napiga chini.
Kama ni mtu mwingine najiepusha naye kabisa.
Mtu wa namna hii amekosa maarifa madogo kabisa. Ni kama asiye na akili.
 
Watanzania ifike point tukubali uhalisia na tuchukue kama funzo kwa majiji mengine, Kwa sasa jiji lenye future angalau inayoeleweka ni Dodoma, Jiji limepangwa vizuli, Miundombinu mizuli ipo na inaendelea kujengwa, Huduma za hadhi ya juu Afya, Elimu n.k na hapo wanamalizia International Airport zile Fly Emirates, Ethiopia Airline n.k tutaanza kuona mikia yao hapo. Wizara ya Ardhi badala ya kung'ang'ana na magorofa ingejikita kwenye kuokoa miji yetu bado hawajachelewa, wapange miji unaweza kua na nyumba ya kawaida kabisa lakini imejengwa kwenye maeneo yaliyopangwa ikavutia kabisa kuliko hii staili ya ukuaji wa miji ya sasa, Miji inaharibika sio mchezo kwa Dodoma nawapa salute ila haya majiji mengine sijui Dar, Mwanza, Arusha na kwingineko kulikopangwa ni katikati ya Miji tu huko kwingineko ni tafrani kila mtu anajenga akili yake inavyomtuma na tatizo ni mamlaka kukwepa kuwajibika, suala la Ardhi sio la kuachia mtumishi mmoja mmoja ni la kutengewa bajeti hasa wanaweza kuwapanga watu na kuwaacha kwenye maeneo yao ila serikali ilipe fidia maeneo yatakayotwaliwa kwa shughuli za kijamii na miundombinu, Hii staili ya sasa haifai na Migogoro haitaisha.
Note: Naiona future ya Dodoma kwingine kulikobaki tia maji tia maji
"Vizuli" 😂🤣😂💩💩
 
Mimi simheshimu, namdharau na siwezi kukaa naye kufanya mjadala wowote. Yaani kama ni demu nilichukua namba, siku hiyo hiyo napiga chini.
Kama ni mtu mwingine najiepusha naye kabisa.
Mtu wa namna hii amekosa maarifa madogo kabisa. Ni kama asiye na akili.
Endelea kutumia majina ya wazungu watakuweka
 
Mimi simheshimu, namdharau na siwezi kukaa naye kufanya mjadala wowote. Yaani kama ni demu nilichukua namba, siku hiyo hiyo napiga chini.
Kama ni mtu mwingine najiepusha naye kabisa.
Mtu wa namna hii amekosa maarifa madogo kabisa. Ni kama asiye na akili.
Hilo Jina ulipewa na baba yko au ndio shobo
 
Mimi simheshimu, namdharau na siwezi kukaa naye kufanya mjadala wowote. Yaani kama ni demu nilichukua namba, siku hiyo hiyo napiga chini.
Kama ni mtu mwingine najiepusha naye kabisa.
Mtu wa namna hii amekosa maarifa madogo kabisa. Ni kama asiye na akili.
Akili huna
 
Nina kiwanja Dodoma kina hati natafuta mtu mwenye kiwanja Dar anaetaka tubadilishane. Kiwanja kipo Nzuguni karibu na stand ya nane nane kina hati.

Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
 
Sasa dar ni ndoto kwa mtu wakuja kama wewe , mimi hakuna sehemu dar naweza pamisi , nimekaa maeneo mengi mno , kuanzia kinondoni kwa masonga Hadi mwananyamala Hadi msasani maandazi load , kawe ukwamani tegeta kwa ndevu uje mikocheni b , sinza ,makumbusho uje tabata maeneo ya Shima , mbezi luisi kabla hata saint Joseph haijajengwa , tuje goba center pale lound about kwenda mlimani city kalibu na msikiti ,Leo mtu Anaona goba pakishua na kipindi kile ukimwambia mtu unakaa goba hakuangalii mala mbili ni bush mixer ngedere tu , mbweni jirani na hospital ya misheni kote nimekaa , ila nyinyi washamba wa dar ndio mnaona mmefika , kule kimala wamejazana mangi kibao mastaarabu hukai kimara temboni kunanuka mavi ya ngo'mbe na nguruwe , mchaga mchafu sana anapokaa anafuga Kila kitu
Matumizi ya L kwenye nafasi ya R....
Umenishangaza unaposema Goba ni pakishua....
Mbona location zote ulizozitaja ni Uswahilini choka mbaya,,sasa kama umekaa hadi Maandazi road, hauwezi ona uzuri wa Dar.
 
Mpuuzi tu huyu, mtu hata kutofautisha R na L hawezi atakuwa na akili ya kuchanganua mambo?
 
Kuna watu ni hodari wa kuiponda Dar.
Wa Kaskazini Utaskia Chugga ni nchi ile baba,
Wa Kanda ya Ziwa utaskia Mwanza ni bonge la jiji.
Wa Nyanda za juu,utaskia sifa kibao kuhusu Mbeya.
Na sasa kuna hawa wa Dodoma...
Tembelea hayo majiji yenyewe ndiyo utakapochoka....
  • Unaweza maliza zunguka hayo majiji kwa masaa mawili na ukayamaliza
  • Viwanja vya bara ni vya kuhesabika
  • Aina za bata ni za kuhesabika
  • Ukosefu wa baadhi ya huduma
  • Majiji ambayo ikifika saa 4 usiku, Usafiri unakoma.
  • Maeneo yenye mikusanyiko ya watu inahesabika
Arusha,Mwanza,Mbeya na Dom yanastihili sifa lakini siyo kwa kuiponda Dar...
Hakuna jiji la kuifikia Dar ndani ya nchi, ukweli wenye kuuma.
 
Matumizi ya L kwenye nafasi ya R....
Umenishangaza unaposema Goba ni pakishua....
Mbona location zote ulizozitaja ni Uswahilini choka mbaya,,sasa kama umekaa hadi Maandazi road, hauwezi ona uzuri wa Dar.
Mimi mtoto wa uswazi , mimi sio wa uzunguni wewe kama unakaa mbweni hongera , ila wote tunapumua na pia goba huwezi linganisha na mbagara au chanika
 
Yan,Kakaa uswahilini tupu halafu anaiponda Dar,hahaha....
Wakati huku Dar tuna omba omba wa Kigogo kibao.
Hapo umekosa akili kwa kuponda wenye kabila , ungeenda kwenye mada yg sio kuchanganya kabila , inabidi uwaombe radhi hapo mimi nimekutoa akili
 
Kuna watu ni hodari wa kuiponda Dar.
Wa Kaskazini Utaskia Chugga ni nchi ile baba,
Wa Kanda ya Ziwa utaskia Mwanza ni bonge la jiji.
Wa Nyanda za juu,utaskia sifa kibao kuhusu Mbeya.
Na sasa kuna hawa wa Dodoma...
Tembelea hayo majiji yenyewe ndiyo utakapochoka....
  • Unaweza maliza zunguka hayo majiji kwa masaa mawili na ukayamaliza
  • Viwanja vya bara ni vya kuhesabika
  • Aina za bata ni za kuhesabika
  • Ukosefu wa baadhi ya huduma
  • Majiji ambayo ikifika saa 4 usiku, Usafiri unakoma.
  • Maeneo yenye mikusanyiko ya watu inahesabika
Arusha,Mwanza,Mbeya na Dom yanastihili sifa lakini siyo kwa kuiponda Dar...
Hakuna jiji la kuifikia Dar ndani ya nchi, ukweli wenye kuuma.
Kwenye swala la usafili ni pesa yko tu , Sasa dar usafili upo ila mnaishi kama misukule kusukumana kwenye daladala kutwa , yaani watu mnaingia kwenye mwendo Kasi mnabanana Hadi mnazimia kama mazuzu
 
Back
Top Bottom