Dodoma: Magufuli city yatesa mafisadi

Dodoma: Magufuli city yatesa mafisadi

Unaendeshwa na 20% za watanznaia Amna mradi unaontekelezwa kwa sasa bila ya kuinflate magharma kwa kuwa wwmeona samia wala haha muda wa kuhakikia malipo si umeona hata invoice ya ndege walitaka kumchomekea .sema wezi waliweka mno hela nyingi
Inauma sana
 
Magufuli heshima yake ipo, imejaa pomoni........na mabaya pia lakini. Kwa mtazamo wangu, hali hii ya kupondana imechangiwa zaidi na wafuasi kindakindaki wa jpm ambao hawataki kusikia kuna mwingine pia, katika nafasi ile, anaweza kufanya hili au lile. Wao kila hatua na harakati za mwingine ni upuuzi tu kwao ila za jpm tu basi. Hapo ndipo lilipoanzia tatizo.

Yote kwa yote, umeongea vizuri sana!
Samia ni legacy ya Magufuli
 
Kwa upande mwingine, kuna wanaoteseka zaidi baada ya kuona mradi unaendelezwa vema na kishupavu kabisa na mtu ambaye wanatamani ashindwe........wanateseka kwelikweli maana walijitahidi kweli kuwaaminisha watz kuwa miradi haitekelezeki tena, imetelekezwa, imekufa, n.k. Mama anaupiga mwingi wanabaki kuamisha goli tu.
Samia hana tofauti yoyote na huo mji, wote ni legacy ya Magufuli
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Unateseka sana msukule wewe.
Hilo shetani lenu la Chattle halirudi tena na kamwe haturudii kuwapa nchi mijitu ya aina yenu
 
Habari ya mjini ni mali ya yule Musiba mjinga mwenzenu kupigwa mnada wewe unapuyanga tu humu JF. Msaidieni sukuma gang mwenzenu aepuke ghadabu ya pilato
Washamgeuka mwenzao.
Sasa hv wako busy kumpamba marehemu.
Hawajui tu mwenzao Musiba sasa hivi hataki ht kusikia jina Magufuli
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Ulijengwa kwa hela za magufuli?
 
Kwa hela za gaidi
Sure gaidi aliyemuua Benny Saaanane, Kangoye na kumpiga risasi Tundu Lissu.
 
We kweli huna akili ilikuwa lijengwe Kenya Magufuli na watu wake wakawanyanganya wakenya na sasa linaenda kujenga tz.
Bomba la gesi?? Una akili kweli? Ni Bomba la mafuta.... Maana Bomba la gesi lilijengwa na Kikwete ndio maana nakushangaa kivipi unasema ni JPM.

Punguzeni mahaba Hadi mnaongea uongo.
 
Back
Top Bottom