Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,470
- Thread starter
- #81
Soma hiyo post hapo chini, yeye anadai Bomba la gesi ni kazi ya JPM. Sasa Mimi na wewe nani mende? Acha kudandia mada usizoelewa mpuuzi wewe, I'm not your size.
Bomba la gesi kutoka Uganda kwenda Tanga ni kazi ya nani?