Dodoma: Magufuli city yatesa mafisadi

Dodoma: Magufuli city yatesa mafisadi

Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Akina Kibanda wanatamani waandike kitabu cha kushawishi Magufuli City iwe Samia City!
 
Hayo yote watayatafutia njia na kuyapoteza ili ieleweje siyo wazo la Magufuri.

Ni kama kule Zanzibar, kwenye mapinduzi huwezi sikia John Okello akitajwa bali karume.

Alafu kunaxwale jamaa zenu watatu na kitabu chao chenye shutuma na mapondo, hawakujua kuna haya ya M-City?
Sio Rahisi mkuu
 
We kweli huna akili ilikuwa lijengwe Kenya Magufuli na watu wake wakawanyanganya wakenya na sasa linaenda kujenga tz.
Tunajuwa alivyopigana na kumshawishi kagame live nakuwashinda wake ya Ili ingekuwa Sasa sijui
 
🤣🤣🤣 Wasio na uwezo wa kufikiria nje ya boksi wataandika upupwu Tu humu... Kitu kisichoweza kuepukika...
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Kwa upande mwingine, kuna wanaoteseka zaidi baada ya kuona mradi unaendelezwa vema na kishupavu kabisa na mtu ambaye wanatamani ashindwe........wanateseka kwelikweli maana walijitahidi kweli kuwaaminisha watz kuwa miradi haitekelezeki tena, imetelekezwa, imekufa, n.k. Mama anaupiga mwingi wanabaki kuamisha goli tu.
 
Mama Samia apewe heshima yake kwa kuendeleza miradi yote ila Magufuli Naye apewe maua yake kwa kuanzisha siyo kumsema kwa mabaya mmoja na kusifia mwingine
 
Mama Samia apewe heshima yake kwa kuendeleza miradi yote ila Magufuli Naye apewe maua yake kwa kuanzisha siyo kumsema kwa mabaya mmoja na kusifia meingine
Magufuli heshima yake ipo, imejaa pomoni........na mabaya pia lakini. Kwa mtazamo wangu, hali hii ya kupondana imechangiwa zaidi na wafuasi kindakindaki wa jpm ambao hawataki kusikia kuna mwingine pia, katika nafasi ile, anaweza kufanya hili au lile. Wao kila hatua na harakati za mwingine ni upuuzi tu kwao ila za jpm tu basi. Hapo ndipo lilipoanzia tatizo.

Yote kwa yote, umeongea vizuri sana!
 
Kwa upande mwingine, kuna wanaoteseka zaidi baada ya kuona mradi unaendelezwa vema na kishupavu kabisa na mtu ambaye wanatamani ashindwe........wanateseka kwelikweli maana walijitahidi kweli kuwaaminisha watz kuwa miradi haitekelezeki tena, imetelekezwa, imekufa, n.k. Mama anaupiga mwingi wanabaki kuamisha goli tu.
Unaendeshwa na 20% za watanznaia Amna mradi unaontekelezwa kwa sasa bila ya kuinflate magharma kwa kuwa wwmeona samia wala haha muda wa kuhakikia malipo si umeona hata invoice ya ndege walitaka kumchomekea .sema wezi waliweka mno hela nyingi
 
Back
Top Bottom