Dodoma: Magufuli city yatesa mafisadi

Dodoma: Magufuli city yatesa mafisadi

Bomba la gesi?? Una akili kweli? Ni Bomba la mafuta.... Maana Bomba la gesi lilijengwa na Kikwete ndio maana nakushangaa kivipi unasema ni JPM.

Punguzeni mahaba Hadi mnaongea uongo.
Ili ujinga wako ukamilike ongezea hata ndege na Bwawa ,Sgr vilijengwa na Kikwete
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Toka akiwa mwalimu sekondari Sengerema, Mkemia katika kiwanda cha Nyanza cha Voil, Ubunge, Uwaziri na Urais siku zote Dk Magufuli alitumia akili yake kwa manufaa ya taasisi iliyomwajiri kwa ufanisi mkubwa usio kuwa na shaka yoyote katika jamii. Matunda yake yanaonekana kwa macho ya damu hata hisia zimetekwa mioyoni mwa wananchi wa kawaida.

Hakuwa na nafsi na watu wenye akili za wizi na ufisadi wote walikiona cha moto kwa manufaa ya umma.

Magufuli City nimeiona kwa macho ambapo tafsiri ya maono yake yanaonekana kwa wote hata kama kwa sasa hayupo lakini walioko ambao wanakula kwa sababu ya juhudi za JPM lakini wanajisaidia kwenye kiganja hicho watapata laana isiyosafishika kamwe maishani mwao.

Kazi za JPM zitaishi daima hata kama watainuka watu wa jinsi gani na nguvu zipi hawataweza kufifisha uwezo wake na kazi alizowafanyia Watanzania.
 
Mpe elimu huyo
 
Bomba la gesi?? Una akili kweli? Ni Bomba la mafuta.... Maana Bomba la gesi lilijengwa na Kikwete ndio maana nakushangaa kivipi unasema ni JPM.

Punguzeni mahaba Hadi mnaongea uongo.
we mende mwenzako anazungumzia bomba la kutoka uganda mpaka tanga we unaleta sijui bomba la gesi blaah blaah blaaah .....YOGAAAAAAA weraaaayuuuu jukwaa limevamiaa uko wapi .....tuletee brandz basi maana humu mmhhhh rete rete rete vitu watu tutulize vichwa tuanze kuvunja kuvunja CODE
 
Jibu hoja
 
emoji3.png
emoji3.png
emoji39.png
emoji39.png
Soma hiyo post hapo chini, yeye anadai Bomba la gesi ni kazi ya JPM. Sasa Mimi na wewe nani mende? Acha kudandia mada usizoelewa mpuuzi wewe, I'm not your size.
Ila ataendelea kubaki Akili kwako ukiona mboba la gesi ,bwala la umeme,treni NK.
 
Soma hiyo post hapo chini, yeye anadai Bomba la gesi ni kazi ya JPM. Sasa Mimi na wewe nani mende? Acha kudandia mada usizoelewa mpuuzi wewe, I'm not your size.
Haya basi bomba la gesi ni kazi ya Mbowe.

Chekelea sasa nyumbu
 
Back
Top Bottom