Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Sasa kilichokuchekesha ni nini mkuu? Dodoma pia tuna mpango wa kujenga bandari kubwa ili kuleta ushindani kwa bandari za Daslam, Mtwara na Tanga... Ukiniambia Dodoma hakuna bahari ntakushangaa sana, maana mheshimiwa sana jiwe huwa hashindwi kitu... Bahari itahamishiwa Dodoma kwa treni ya SGR.

Hebu mtuache na Dodoma yetu nyie wapinzani mnaopinga kila kitu.

Nimemaliza....
 
Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika kipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......
Tumeanza kujenga uwanja wa kimataifa Chattle.... Bombardier itachukua fisi wa kule na kuwamwaga Dodoma. Then treni ya SGR itachukua fisimaji wa Mikumi na kuwamwaga hapo Dom. Sasa Fisi na fisimaji wakijamiiana, product yake litakuwa ajabu jipya duniani... Donald Trump na Lionel Messi lazima watie timu Dom kufanya utalii.

Una swali jingine?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Du...hujaelewa bado?
 
Wenye akili tu ndio watakuelewa, well written, si mda na watu wa sensa wata sema DODOMA SASA INA WATU MILLION 6, kuipita Dar. Watu wengi wamehamia DODOMA kumuunga mkono Rais.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Nasikia hata round about ya Dodoma ni kivutio cha utalii
 
Dodoma kwa kweli itaipiku Arusha kwa utalii na ndiyo maana hata Patrobas Katambi na yale mameno amepelekwa Dodoma ili kuvutia watalii zaidi. Yale meno kuyaangalia lazima uache dolari
 
Ukitaka kujua nchi hii kuna wajinga wengi sana,
Angalia humu kwenye huu uzi wapuzi walivyojazana na kushindwa hata kungamua mwenye mada anamanisha nini.
Alafu ndio kuna GREAT THINKERS sijuhi huko mtaani kuna nini?
Hongera sana ndugu GuDume kwa waanika wajinga walio jazana humu.
Watu wengine (sio wote) hawataki kushughulisha akilizao, wengine wameshazoea kukaririshwa maneno na kuchukua kama ilivyo! Mpaka leo mimi nashindwa kuelewa kama Tanzania tulikua tunakosa watalii kwa sababu hatuna ndege au vipi? naomba mnieleweshe labda akili yangu ndogo sana! lakini kuna watu wameshaweka msemo kuwa tutaongeza watalii baada ya ndege kuja kwa sababu mtu fulani tu amesema!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Kuna watu wanasema Dodoma ndo panafaa sana kwa uwekezaji wa biashara ya hotel compared to Dar. Nikabisha kwa mtazamo /na nnavoijua Dodoma kijujuu. Hii imekaaje Mkuu?
 
Mungu asante sikuzaliwa kilaza ndo maana nimemwelewa mtoa mada kwa usahihi mno Ila jaribu kuwa mwongo maana ukweli ni mtamu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Mkuu wewe hujaskia taarifa ya mapato ya Dodoma kuizidi Dar es Salaam? Wakiamua ndivyo itakavyokuwa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Mkuu punguza uvivu wa kufikiri,soma tena vizuri
 
Back
Top Bottom