Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu. PENYE NIA PANA NJIA NA YOOTE YAWEZEKANA KWAKE AAMINIYE.
Bandiko lako lina misifa mingi ya kijinga,uongo na mambo mengi kuhusu Dodoma ambayo hayatekelezeki mkuu.Halafu mengine uliyoongea kuhusu Dar pia ni ya uongo.Sinza kulikuwa kunalimwa mpunga wa kulisha Tanzania nzima na Kariakoo kulikuwa kunalimwa migomba lini? Na Dodoma ipite Arusha kwa utalii ?! Kwa vivutio vipi vya utalii hasa?

Mwisho, hivi unasahau kwamba Dodoma ni mkoa kame,utapitaje kwa kilimo mikoa kama Rukwa,Mbeya,Morogoro,Manyara,Arusha nk.ambayo ina mvua za kutosha?Acha misifa mkuu na uvivu wa kufikiri.
 
Bandiko lako lina misifa mingi kuhusu Dodoma ambayo haitekelezeki mkuu.Halafu mengine uliyoongea kuhusu Dar ni ya uongo.Sinza kulikuwa kunalimwa mpunga wa kulisha Tanzania nzima na Kariakoo kulikuwa kunalimwa migomba lini mkuu.Tena Dodoma ipite Arusha kwa utalii mkuu,kwa vivutio vipi vya utalii?Mwisho, hivi unasahau kwamba Dodoma ni mkoa wa ukame,utapitaje kwa kilimo mikoa kama Rukwa,Mbeya,
Morogoro,Manyara,
Arusha nk.Acha misifa mkuu na uvivu wa kufikiri mkuu.
Mmmhhh! Kazi ipo, bado wapo na wataendelea kuja kichwa kichwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Wote wanakushangaa wewe, inaonekana hujasoma mpk mwisho. Gudume anafurahisha wanajamii
 
We ni akili kubwa sana humu jf, nyuzi zako zote katk majukwa yote husomeka kwa akili kuu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Utakuwa na PhD we, mi wa lasaba kamwandishi nimemuelewa
 
Hahahaha.

Just when I was about to message Fred to encourage him to run, the thought occurred to me.

Fred is the sort of chap who would need no encouragement if he really wants to run, and if he doesn't want to run, no amount of encouragement would budge him.

I predicted he would run, with no encouragement from me.

It is beginning to look like that.
 
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu. PENYE NIA PANA NJIA NA YOOTE YAWEZEKANA KWAKE AAMINIYE.
[emoji102][emoji102][emoji102]
 
Hahahaaaaaa
Hata mamlaka ya hali ya hewa itaonyesha kwamba kumekuwepo na ongezeko la wastani wa mvua huko Dodoma kuliko mikoa mingine, hii ni baada ya serikali kuhamia Dodoma
Hata chuochuo kikuu cha dodoma kitakua chuo bora zaidi Afrika ndani ya muda mchache ujao 😀😀😱😱
 
Wanaume wa Dom watawazidi wanaume wa Dar kwa mengi sana.
 
Labda kama umeandika kinyume, kwa maana ya kwamba hayo uliyoandika hayatawezekana!!!
Sio mimi niliyeandika. Ni mwanafasihi GuDume 😀😀😀😀. Pole sana kama unapata taabu kuelewa, najua tunapishana uelewa miongoni mwetu.
 
unachosema kinaweza kuwa kwa asilimia 50 kweli kwa kuwa kama kilimo kikiboreshwa bado nafasi ya wao kufanya vizuri ipo na hasa kama serikali itatilia mkazo na kuwa na mashamba darasa yatakayo endeshwa kwa kuhifadhi maji ya mvua mbayo yanapotea sana licha ya mikoa ya kati kuwa na mvua chache.
kipato kitaongezeka kweli kwa kuwa huu mji ulikuwa na watu kama 600,000 sasa kunaongezeko la watu zaidi ya 10,000 waliokuja kwa mkono wa serikali na wengine kutafuta fursa hivyo shughuli za biashara na uzalishaji zitaongezeka tu kwa kuwa soko limepanuka.
naishi dodoma kwa zaidi ya miaka tisa shughuli za madini hazijaanza lakini gold ya maana ya markia Elizabeth inatoka dodoma na ni moja ya mikoa mabayo madini hayajagushwa kabisa achilia mbali uranium.
unategemewa kuwa mji wa kisasa kwa kuwa makosa yaliyofaniyika kuujenga mji wa dar yanzingatiwa yasifanyike kwa kiasi kikubwa katika mji huu, kunategemewa kuwa na viwanja vya ndege viwili vilivyopo maeneo tofauti na pia train ya ndani itakuwepo pia uwepo wa bandari kavu achilia mbali mizigo ya bandari ya tanga inayoenda burundi, uganda na kigali mingine itapitia hapa hivyo bado kutakuwa na watu wengi pia ambao wangependa kutembelea mji huu na kuona uwekezaji ulivyofanywa na utalii ukawa sio tena wanyama peke yake bali ni mazingira yaliyopo.
tusikate tamaa zipo changamoto nyingi sana ambazo kwa sasa mji unapitia lakini kwa wale wa zamani hata dar ya 1976 sio ya leo imebadilika sana sasa kama mtu kazaliwa 1986 na kakuwa kaikuta dar hiyo lazima ashangae.
katika kipindi hiki cha changamoto na bado watu wamezubaa ndio wale wenye mitaji na uwezo wa kuwekeza ndio muda wake kwakuwa mji bado haujakuwa kwa km 40 mpaka sasa na ardhi bado ipo.
 
Back
Top Bottom