Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,074
- 5,862
Huna akili ww.. Nenda huko kaandike story za mapenzi
[emoji23] Ngoja tusubiri na takwimu za mamlaka ya hali ya hewaMkuu hii ni kweli si utani, sasa mvua zinayesha Dodoma, naona ukame utapungua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Gudumeeeewewe una macho makali sana.. tena nadhani unatoka kwenye ukoo wa kinabii. unaona ndani sana.
Mkuu hujamuelewa GuDume alichoandika soma taratibu, ametumia fasihi. Maana yake cyo ya moja kwa moja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?
Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.
Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?
Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.
Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"
Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.
Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.
Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.
Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.
Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.
Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.
Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.
Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.
Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.
Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.
Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu.
Halafu hii ya Dodoma kupita Dar kimapato ni kwa uchumi gani wa Dodoma uliojaa umaskini hivi? Pathetic.Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Msome taratibu utamwelewa.Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika kipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......
kubali tu ujaelewa mkuu, ama soma upya ukiwa umetulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?
Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.
Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Si ndio wengi kwao Dodoma, kwa hiyo fursa imewajia, wanarudi nyumbani kumenoga.Nadhani litaongoza pia kwa ombaomba. Naona ombaomba wengi Dar wameanza kufungasha virago
Hahaha will keep posted then.... tumekumiss mnoo dadaha ha ha.....aiseee.......kama pale nitakuja.....sio kwa ndizi mzuzu zile na ile salad.........
Detective una akili nzito mno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?
Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.
Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Mkuu soma katikati ya lines, hujamuelewa bado.Man look at pumba uliyoandika.
Kama ungekuwa umekonect dots kuhusu taarifa kadhaa zinazoendelea ungeelewa nini anamaanisha, pia nadhani hujaelewa mfumo huu wa uandishi ambao unaficha maana ili mwenye akili aweze kungamua mwenyewe nini mwandishi anamaanisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?
Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.
Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Let Me be Today the first to Comment on this.
Ni kweli.