Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu. PENYE NIA PANA NJIA NA YOOTE YAWEZEKANA KWAKE AAMINIYE.

Ulianza kwa kutoeleweka ila kati ukaanza kueleweka. Asante sana kwa ujumbe huu.
 
Kilichobaki tu kwa serikali sasa ni kukamata nduguze Job Ndugai, Ben Pol, MC Pilipili na Le Mutuz na kuwapeleka misituni kuishi huko. Serikali ikiwaendekeza hawa watu mji mzima wa Dom utakuwa unanuka mikojo na mavi, maana hawa jamaa kwa kunya stendi za mabasi na barazani kwa nyumba za watu wanaongoza, nafikiri ndiyo jamii pekee inayochukia vyoo. Wagogo hawapendi kuendelea hata kidogo, wanafikiri uchawi ndiyo msingi wa maisha yao, yaani hawa na nduguze Diamond (Waha) hawapishani misingi yao ya maisha. Uchawi mbele, maendeleo mwiko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Hujamuelewa Gudume.
 
Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.
Hili litawezekana vipi kutokana na ukame wa sehemu husika?
 
Tumeanza kujenga uwanja wa kimataifa Chattle.... Bombardier itachukua fisi wa kule na kuwamwaga Dodoma. Then treni ya SGR itachukua fisimaji wa Mikumi na kuwamwaga hapo Dom. Sasa Fisi na fisimaji wakijamiiana, product yake litakuwa ajabu jipya duniani... Donald Trump na Lionel Messi lazima watie timu Dom kufanya utalii.

Una swali jingine?

ndio nina swali.......
 
iaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.
Haya mkuu, Hapo nimekuelewa.
1533899745212.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Tulia kwanza
 
Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika kipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......
ulipotelea wapi wewee? Likuonaga maeneo ya burka miaka flan
 
Mku umeandika blindly lakini gazeti lilitoa ufananuzi mzuri kuhusu "Dodoma kukusanya zaidi ya Mikoa mingine TZ kama Dsm". It is not in terms of numbers hata kidogo. Ni kwa kuangalia makadirio na makusanyo halisi kiasilimia. percentage wise. Kwamfano dodoma kama walikadiria kukusanya 1B alafu wakakusanya hiyo 1B yote,then wao wanahesabika wamekusanya 100% Lakini ukichukua wilaya za mkoa wa Dsm ( Ilala, Temeke, Kndoni) kila wilaya Dsm zilikusanya mapato mengi zaidi ya Dodoma nzima. Sema wao Dsm hawakufikia makadiriyo ya makusanyo yao kwa asilimia kubwa labda wengi walikua 80%- 90%

Mkuu acha mchezo Dsm bado tishiyo la Tanzania kwa makusanyo.
 
Ha ha ha haaaa! Dodoma itaongoza pia kwa uvuvi wa samaki kupitia mito na maziwa. Wawekezaji wa masuala ya uvuvi mnakaribishwa kujenga viwanda vikubwa.
 
Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika k. ipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......
Kwa post km hizi angalia wachangiaji wengi ndio utajua kuna watu wenye uelewa mdogo.na hawa ndio watetezi wa chama mfu.watu hawana ufahamu wowote juu ya uandishi wa kifasihi ktk kufikisha ujumbe.
 
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu. PENYE NIA PANA NJIA NA YOOTE YAWEZEKANA KWAKE AAMINIYE.
maajabu kweli ya ng'ombe kuishi kwa kula vumbi
 
Kwa post km hizi angalia wachangiaji wengi ndio utajua kuna watu wenye uelewa mdogo.na hawa ndio watetezi wa chama mfu.watu hawana ufahamu wowote juu ya uandishi wa kifasihi ktk kufikisha ujumbe.
na wewe ni muke yanani vilee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Jiongeze usiwe mvivu.
 
Bila Shaka Una F ya kiswahili, Mwalimu wako wa fasihi hafai kabisa
 
Wewe shule ulikuwa kilazaaaaa tena zaidi ya kilaza.
 
Bandiko lako lina misifa mingi ya kijinga,uongo na mambo mengi kuhusu Dodoma ambayo hayatekelezeki mkuu.Halafu mengine uliyoongea kuhusu Dar pia ni ya uongo.Sinza kulikuwa kunalimwa mpunga wa kulisha Tanzania nzima na Kariakoo kulikuwa kunalimwa migomba lini? Na Dodoma ipite Arusha kwa utalii ?! Kwa vivutio vipi vya utalii hasa?

Mwisho, hivi unasahau kwamba Dodoma ni mkoa kame,utapitaje kwa kilimo mikoa kama Rukwa,Mbeya,Morogoro,Manyara,Arusha nk.ambayo ina mvua za kutosha?Acha misifa mkuu na uvivu wa kufikiri.
Wewe pia una PhD na unayashangaa hayo??[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom