Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

Si ndio wengi kwao Dodoma, kwa hiyo fursa imewajia, wanarudi nyumbani kumenoga.
Msamehe bure Mkuu, hajasoma habari yote.
Nimemsamehe yeye na wenzake walioingia chaka. Kama Taifa tuna sababu ya kutazama upya namna ya kuwajenga vijana wetu waweze kutumia vizuri vichwa vyao kutikiri, hii inaonyesha kuna tatizo katika mfumo wetu wa elimu
 
Kweli hata mie nimeanza kunoti hii kitu...!
Yani baada tu ya serikali kuanza kuhamia dodoma na hivi majuzi ilipotangazwa kwamba dodoma imeongoza kwa mapato kuzidi majiji yote basi ombaomba dar wameanza kupungua sana na sasa wanaelekea huko dodoma ambapo kuna "neema tele"
Kuna wengine walisikika wakiimba kuwa sasa tunarudi nyumbani kwa sababu nyumbani kumenoga ha ha ha
Wataweza masharti ya Dodoma? Kuomba Ni Ijumaa Hadi Ijumaa, vinginevyo wataishi kwa mashaka sana, si kwamba hawapo wapo ila hawana Amani wanajua muda wote wanaweza timuliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote

Hahahah!!! hali ya hewa tu ya Dodoma, Sudan kusin INA afadhali, watalii waje kwa lipi labda. labda kushangaa wagogo wanavyoongelea bwala la mtera.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Hujamwelewa mleta mada vizuri . Huyo anakejeri tu. Ametumia riwaya
 
Soma katikati ya mistari, utaielewa tu hii habari. Kwa Kiingereza wanaita SATIRE, kwa Kiswahili TASHTITI.
😀😀😀😀😀
Labda kama umeandika kinyume, kwa maana ya kwamba hayo uliyoandika hayatawezekana!!!
 
Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni,yaani nimesikitika sana jinsi wavivu wa kufikiri wanavyoongezeka kwa kasi ya dreamliner.
Nyuzi kama hizi zinawakurupusha huko walipojifisha na kuja kuanika umbumbumbu wao hadharani.
Kongole kwake GuDume kwa uzi huu,na tafadhali sana uongeze kasi ya kutuletea nyuzi kama hizi na ikikupendeza zaidi mkuu,andika vitabu.
GuDume Ongeza makala kama hizi wajinga tuwajue, unaweza kuta siku hata JIWE mwenyewe anaingia Mkenge.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Mkuu hii ni lugha ya fasihi, sio rahisi kama inavyosomeka!
 
Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika kipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......

Mkuu Preta unahitaji ufafanuzi wa Dodoma kupita mikoa mingine kwa utalii.....??
 
Back
Top Bottom