pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Dodoma wamekusanya ngapi dhidi ya Jiji la Dsm? hapa hakuna uhalisia hata kdg jamani.
Nini ambacho serikali imewekeza Dodoma sasa?
kipi kinaonekana kipya zaidi ya hali ileile?
Je kuhamisha wafanyakazi je majengo ya kuwatosha yapo?