Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

Babu yake na wajukuu, Hao ombaomba watakuwa wanarudi nyumbani, baada ya kuona biashara imebadilika,si unajua tena mcheza kwao, hutuzwa? au hutunzwa? labda vyote.
Hutuzwa ... basi tuwatakie safari njema. Watuwache na jiji letu pendwa la mtoto wa jiwe
 
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu.
Ulinipa taabu sana mwanzoni, lakini mwishoni ukanikumbusha hadi za mzee.......... katika kitabu cha mzimu wa kale. Kinyume cha mambo. Hongera kwa kunifikirisha. Huu ndio uandishi uliokuwa umepotea; nahisi unafufuka tena, nimeanza kuuona humu kwenye ukumbi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Tulia mkuu usome vizuri
 
Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika kipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......
preta nilikumiss sana.. nimefurahi kukuona uko poa kabis
 
Kwa kweli naona Rais ana plan nzuri sana na hatujawahi kuliwazia hili ila siasa tu

Ukiangalia nchi zinaendelea kwa kuhamisha makao au kuanzisha miji mipya kwa sababu ya populated areas
Na Magufuli ana wazo hilo hilo na watu watambeza

Miji hujengwa na watu na ndio anataka iwe hivyo
Kama tukipata miji 4 mipya mikubwa ni bora zaidi
 
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu.
true mkuu.

makao makuu yalivyohamia Dodoma, ndani ya miezi 12 ijayo tu mlima mrefu utaota kama uyoga pale Mzakwe. mlima huu utakuwa ni mrefu na wenye barafu nyingi kuliko hata mlima Kilimanjaro!!
 
ahahah itaongoza hadi kilimo cha mpunga?
 
Hiyo ni pure sarcastic... ulichosema ni ungo'ng'aji... umepaka mafuta kwenye mgongo wa chupa...

Nimekuelewa sana... hiyo inaitwa nyuma geuka, ghafla wa kwanza kawa mwisho...

Cc: mahondaw
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Takwimu zikisema hivyo utabishana nazo?
 
Kutokana na mandhari nzuri ya Dodoma na kwa vile kila Mtanzania na mtalii atapenda kwenda Dodoma kushuhudia maajabu yake, ndiyo maana utaratibu mpya umeanzishwa, ili kuingia Dodoma utalazimika kuwa na passport.
Hili tayari limepita.
 
Back
Top Bottom