Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

Soon migodi yote bulyanhulu, Mirerani, North Mara etc itahamia Dodoma. Haiwezi kuendelea kuwepo huko ilipo sasa kwa kuwa imeona kazi nzuri zinazotekelezwa na sirikali ya awamu ya tano

Kuendelea kuwepo huko ni kupingana na juhudi za mtukufu kwa maana ya kuwa kile walichokuwa wanapigania huko migodini wanaweza kukipata dodoma vile vile
 
Kwa post km hizi angalia wachangiaji wengi ndio utajua kuna watu wenye uelewa mdogo.na hawa ndio watetezi wa chama mfu.watu hawana ufahamu wowote juu ya uandishi wa kifasihi ktk kufikisha ujumbe.

Mafisiem hayana akili hata kidogo.
 
Umeandika vyema........lakini ningependa kupata ufafanuzi zaidi katika kipengele hiki.......KIVIPI YAANI.........?.......
Preta niko mjini mwenu Ar.chugga vipi nitafute unifute tongotongo kwa huu mji wenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Mkuu, rudi shule!
 
Ni upumbavu kuamini kila mtu anaechangia humu ni mwanamke km wewe. Kuzoeazoea wanaume utakuja kuzoea majin alafu utaliwa... mwana fa
mbona unafanana na kidoti[emoji160] [emoji12] [emoji83]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Un kichwa kigumu sana aisee😂
 
Hata mimi Mungu akipenda nitahamia Dodoma muda si mrefu nikanufaike na mema ya Jiji jipya la Dodoma kutokana na juhudi za Mh Rais
 
"Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana."

👆Hivi unapozungumzia kilimo kwenye jiji la Dodoma una maana gani? Tofautisha Dodoma kama jiji na Dodoma kama mkoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Ukirudia kusoma utamwelewa mwandishi
 
Huwezi muelewa Gudume kama kama unaakili ya nursery!
 
Hata kwa jicho la kawaida ilikua na itakua maajabu Dom kuipata dsm kwa makusanyo lakini wenye phd washasema kwahiyo mi sishangai Dom kuipita Arusha kwa utalii.
Yajayo yanafurahisha
 
Kama Jiji la Dodoma kwa muda mfupi tu limeweza kulizidi Jiji la Daresalaam kwa kukusanya mapato.
Basi ni kweli kuwa Jiji la Dodoma litakuwa ni Jiji la maajabu makubwa sana ya kuandikwa hadi kwenye kitabu cha Guiness mda sio mrefu.
 
Back
Top Bottom