Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

Mu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Eeeh! Mungu, hiki kizazi kimekumbwa na balaa gani? Uwezo wa kuelewa umekuwa chini sana
 
Ha ha haha haaaaaa... Nimesikia wanachimba mfereji kutoka cocobeach upeleke bahari Dodoma ili meli zifike na kuinua pato la Dodoma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Nina mashaka na uwezo wako wa kusoma maudhui
 
Yani kwakifupi amejiaibisha
Nyuzi kama hizi ndio huwaleta peupe "wavivu wa kufikiri" kama wewe. Jambo linalonisikitisha ni kuwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,wavivu wa kufikiri mnazidi kuongezeka,na hii ni mbaya sana kwa afya ya maendeleo ya Tanzania. Msalimie mwenzako Detective J.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
Mkuu naona GuDume amekuacha mbali sana coz leo ameandika kwa herufi kubwa. Huhitaji kurudia kusoma ili kuelewa fasihi iliyotumika hapa.
 
Ukitaka kujua nchi hii kuna wajinga wengi sana,
Angalia humu kwenye huu uzi wapuzi walivyojazana na kushindwa hata kungamua mwenye mada anamanisha nini.
Alafu ndio kuna GREAT THINKERS sijuhi huko mtaani kuna nini?
Hongera sana ndugu GuDume kwa waanika wajinga walio jazana humu.
Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni,yaani nimesikitika sana jinsi wavivu wa kufikiri wanavyoongezeka kwa kasi ya dreamliner.
Nyuzi kama hizi zinawakurupusha huko walipojifisha na kuja kuanika umbumbumbu wao hadharani.
Kongole kwake GuDume kwa uzi huu,na tafadhali sana uongeze kasi ya kutuletea nyuzi kama hizi na ikikupendeza zaidi mkuu,andika vitabu.
 
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu.
[emoji23] [emoji23]
 
Siku chache baada ya kupewa hadhi ya Jiji,maji ya chumvi yamekuwa historia Dodoma.
 
safi sanaaaa......nipo njiani kuelekea Dodoma kula zabibu...........
Naomba nikukaribishe upite shambani kwangu pale Zuzu,utajipatia zawadi za zabibu,ndizi na maziwa. Karibu japo mimi sipo huko kwa sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Man look at pumba uliyoandika. Eti dodoma itaipita arusha kwa utaliii..? Eti dodoma itaipita dar.. kwa kipi hasa ambacho dodoma inayo?

Kwa taarifa yako niko dodoma ni semi desert, kwa vyovyote vile dodoma haiwezi ifokia arusha kwa vivutio maana arusha imezungukwa na vivutio vingi zaidi.

Kuwafikia dar kimapato labda miaka 15 ijayo. La si hivyo hakuna lolote
ACHA UBISHI..... WEWE SIO MZALENDO NA NDIO MAANA UNASHINDWA KUUNGA MKONO JUHUDI.... DODOMA ITAKUA NA BANDARI YENYE MAPATO MAKUBWA KULIKO DSM
 
Umeshawahi fika Dodoma, na baadhi ya Wilaya zake ndo ukaandika huu uzi? Kwamba Dodoma italimwa Mpunga, Tumbaku, Pamba?. Naomba Mungu anipe uzima nione haya yakitimia.
WEE NI MSALITI KAMA LISUU! HUTAKI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA UCHUMI WA KATI KWA NINI? DODOMA ITAONGOZA KWA KILA KITU... SUBIRI MADINI YAANZE KUCHIMBWA DODOMA! NINI MAZAO! NA DODOMA WAKIANZA KULIMA MPUNGA, NAHAMA IFAKARA, NAHAMIA DODOMA KULIMA MPUNGA!
 
Hata data za juzi wenye akili wanajua zina walakini mkubwa sana... Hata Makonda alikiri huwa anadanganywa na wasaidizi wake
 
Hili nmeanza kuliona na ninashukuru kuwa wazo la kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Dodoma limekuwa na Manufaa MUNOO. Sasa Dodoma ni Makao Makuu ya Chama na Serikali. Na tunaanza kuona mafanikio yake "ya mwendo kasi"

Mara baada Serikali kuhamishiwa Dodoma kwa maana ya Ofisi zake Kuu tumeona mabadiliko makubwa sana.Kuchumi,Nategemea Kiutamaduni, na Kisiasa pia.

Dodoma imeishinda Dar es Salaam kimakusanyo na naamini mpaka Baadaye sana itaendelea kuongoza.Mpaka wanaotoa takwimu labda wakichoka kuwa wanatoa takwimu hizo.kinyume na hapo Jiji la Dodoma litaongoza sana.Jiji la Dodoma ghafla limekuwa lulu kwa makusanyo na kuyashinda Majiji mengine ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza. tena haya ya Dar na Mbeya yatakuwa ya mwisho sana maana haya yanaongozwa na Wapinzani kitu ambacho ni kibaya zaidi. nadhani na Arusha pia. Dodoma itawaacha mbali sana.

Dodoma siku zijazo itaongoza kwa Utalii.itaishinda Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Zanzibar, Manyara n.k
Watalii wengi sana kutoka ndani na nje ya nchi watamiminika Dodoma na siku si nyingi mtasikia Mabadiliko makubwa sana katika sekta hiyo nchini. Usiulize swali la Kipuuzi kuwa kuna vivutio gani. Kivutio kipo machoni pa mtu. na wanaotoa Takwimu sahihi ndo watakaosema ikiwa watampasia hizo takwimu Mh. Rais kwenye moja ya Hutuba zake atasema. na itakuwa hivyo.

Katika sekta ya Kilimo pia kuna Mapinduzi makubwa yamefanyika. Dodoma usishangae ikaongoza Mikoa yoote kwa kilimo cha Mpunga,Mahindi,Viazi,Maharagwe,Pamba,Korosho, Tumbaku n.k tunaelekea huko subirini siku wakitoa takwimu.hii ni katika kuonesha kuwa Kuhamishia Serikali kule kumeleta maendeleo makubwa sana.

Kwenye sekta ya Madini pia Dodoma haitakuwa nyuma... utashangaa pia inatoa pato kubwa sana la Taifa katika kodi inayopatikana kutokana na Madini. kushinda Mwanza, Arusha,Mara, Shinyanga,Mbeya nk. na hata Gesi pia haya yanawezekana. "penye nia pana njia" kama msipokuwa makini ninyi wa mikoa mingine yatatokea haya. Subirini tu watu waangalie namna ya kukusanya taarifa hizo na kumpasia Mh.Rais. wao ndo huwa wanatoa takwimu ambazo ni amina na kweli.

Dodoma itaongoza pia katika kufaulisha wanafunzi. Shule za Dom nying sasa zitaanza kufanya vizuri kielimu n.k... ndiyo.hili nalo linakuja kwa matokeo yajayo na ni kutokana na nia njema kabisa ya kuhamishia makao makuu ya Serikali Jijini humo.

Katika kuelezea mafanikio hayo kuna mtu ameshangaa kuwa Dar Es Salaam kwenye kilimo imekuwa ya mwisho.huyu mtu ana PHD. Ameshangaa.... Nami nashangaa sana."Dar Es Salaam inakuaje ya mwisho kwenye kilimo? hii imekaaje wadau?" watu wa Dar Es Salaam wamekuwa wavivu baada ya Serikali kuhamishiwa Dodoma. Pale sinza kulikuwa kunalimwa mpunga unalisha Taifa zima miaka michache ya nyuma. Viazi vitamu na mviringo vilikuwa vinalimwa Mwenge tu hapo jirani.

Ilala hapa walikuwa wanalima sana mahindi mpaka posta.toka Serikali ihamie Dodoma uzalishaji umeshuka na Dsm imekuwa ya mwisho.nakumbuka miaka kadhaa iliyopita oysterbay walikuwa wanalima sana maharagwe mpaka masaki huku na mikocheni.

Ukija kariakoo mashamba yalijaa ya migomba. Sasa toka serikali ihamie dodoma mambo yamekuwa hovyo kabisa. Ukisogea kule Keko kulikuwa na mashamba makubwa makubwa ya karanga na Ufuta... si miaka mingi sana juzi juzi tu hapa miaka ya 2010-2015. baada ya kuhamishiwa Serikali Dodoma mambo yamebadilika sana. Kilimo kimeanza hata kuanguka na ndo maana mheshimiwa mmoja anaongea kwa uchungu sana kuwa Dar Es Salaam imekuwa ya mwisho katika Kuzalisha mazao ya Kilimo. hata mimi nimeumia kama yeye.Sema tu yeye ana PHD mimi nina STD.

Miaka ijayo Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu Makubwa Duniani... litakuwa jiji ambalo halijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Takwimu zao hazidanganyi. usibishe namba hazidanganyi hata siku moja hasa zinatolewa na wazawa achaneni za zile za Wale wenye Uraia wa mashaka. labda kama watoa Takwimu,Mawaziri n.k wataamua vinginevyo.

Tuendelee kuunga Mkono juhudi za Serikali yetu Takatifu.
Labda Wakoma waache kuwa omba omba,ndio jiji lao la magumashi litakuwa real otherwise ni fake city...
 
Umeshawahi fika Dodoma, na baadhi ya Wilaya zake ndo ukaandika huu uzi? Kwamba Dodoma italimwa Mpunga, Tumbaku, Pamba?. Naomba Mungu anipe uzima nione haya yakitimia.
Soma katikati ya mistari, utaielewa tu hii habari. Kwa Kiingereza wanaita SATIRE, kwa Kiswahili TASHTITI.
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom