Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha 3, Novemba 13, 2025

Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha 3, Novemba 13, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kwa ajili ya Bunge kumdhibitisha kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muuungano wa Tanzania leo Novemba 13, 2025.

Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri aliwasilisha Bungeni ujumbe maalum kutoka kwa Mhe. Rais kuhusu uteuzi wa Waziri Mkuu leo Novemba 13, 2025.

Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni kwa ajili ya Waheshimiwa Wabunge kumthibitisha kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muuungano wa Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom