USIHOFU UMEPATA! kabintispecial Nakaribia kuua MD5 hapa MUHAS,nitafute nitafanya INTERSHIP with a WIFE MATERIAL...!!
Wako wasio wahuni ila tatizo ni macho ya mabint wengi yako kwao.
Ukimpata anayeithamini kazi yake kukuacha umenuna kisa ameitwa for emergency sio shida,ila akirudi ata explain. Ni wababa wazuri pia kwa familia.
Ukiwa nae jitahidi tu kumuamini ili uwe na amani moyoni.
aisee tuko tofauti, dr hanistui kabisa, bora mwanajeshi, tena kama ana nyota au komando mie hoi.
au injinia full mafiziksi na mamshimba mie ON kabisa, dr kutwa nzima sampo.zake K? Njawahi kabisa kutamani.
Ningekuwa karibu ningekukaribisha japo nkuone tu..
usidhalilishe utu wako kwa nafasi aliyonayo mtu, then wewe una taruma gani mpaka utake daktari
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Aseee mi pia napenda hawa watu
nikiwaona ndani ya koti jeupe na ile kitu sijui stenininicope mi hoi jamani
uuuh thanks God kwa kunipatia kitu roho inapenda...
aaaaj hawa wanaolala na manesi wao? Wapite kushoto tu
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
Kabintispecial wew!
sio wote !kuwa na amani !!
Nadhani umejijibu mwenyewe dokta. Nina watu wa karibu ambao ni madaktari and they are horrible husbands and fathers!!!
Yan mleta mada nakuunga mkono kwa asilimia kubwa. Natoa ushuhuda nina dr.kwa muda flan sasa kwakweli nafurahi kbs na sijajuta mpk saiv. Mapungufu hayakosekani km binadam ila kwakwel nikilinganisha na mjeshi mmoja niliyekua nae nusu nife na pressure kwnd hosp sina ugonjwa japo nahic naumwa, dr. ndo akaokoa jahazi.
Mpk saiv sijaonja uji wa shuluba, hata km ikigeuka lkn nishapata history ya kuzungumzia kwmb niliwah kufurahia maisha.
Japo makoti meupe hata wauza nyama wanavaa lkn nmegundua sare wanazovaa watu wkt mwngne zinatoa maana flan japo hii sio sheria ni mtazamo tu. Mtu anavaa sare mwanzo mwisho ni mabakamabaka yan tabu tupu.
Na ukiolewa na Mchungaji je? Maana nao wanavaa majoho meupe!!
Hebu waambie bhana, mhandisi akiifanyia pamyuteshen na kombineshen K lazima ikubali kuwa intagretedi tena bila kujali limits. Sasa daktari kila siku anashika K mpaka anakosa apetaiti ya kuipa haki yake.
Vip sisi wanajeshi na sisi tuna mapenzi ya dhati