Doctors


madokta hawapendi kinyaa!
 
Mi muuza nyama kwenye bucha vipi hapo? Pia navaa koti mda wote wa kazi, pia napendeza kwa vazi langu!
Nahitaji kupendwa pia.
 
aaaaaahahahahaaaa daaaa madocta sasa kazi kwenuuuuu
 
Meeee???

When am stressed I stay away from people, including social media.

A man is a man, his profession does not make him any better or worse.

Kweli mamii,professional si kitu mbele ya mapenzi. Tena hawa wengi wao ndio sio waaminifu kbs.
 

Nakuunga mkono kbs,my hubby ni daktari yaan uliyosema mengi huwa nayaona yanatokea. Na cha ajabu baada ya kujifungua yaan upendo wote ndio umehamia kwa mtoto.
Cha kushangaza ht ndg zake na majiran pia huwa wananiuliza ilikuwaje hd huyu bwana akanioa,nilimfanyia nn maana huwa hana time na wanawake.
 
Dada anataka uhakika tu wa wali-nyama mezani
Got true love nenda kwa wasukuma mikokoteni
 
Uwe tayari kuchangia penzi na manesi.
 

Huyo ni wako tu kama ambavo mwanaume yeyote aweza kuwa kimeo
haimaanishi Madr wote wapo hivoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…