Do You Support Gay Rights In Tanzania?

1. If you don't care why start a thread?2. You mean I should not hate thieves since in the future my kids "gonna be among them"?3. You are just an empathy looking gay!!!

Nimeipenda comment yako. Yah u cant like thieves since in future your son gonna be a thief.
Mimi naweka wazi kabisa I real dont like gays kwakuwa according to me it is immoral and against God.
 
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Malaria and paedophilia instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!

Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them!



View attachment 51123

Sasa Boflo unaharibu bana. Kwa nini unatuwekea hayo mapicha bana?
 
Ma gay walikuwepo toka enzi za sodoma na gomora.Nadhani ni uhuru wa kupitiliza kwa wanadamu na wengine ni matatizo ya kisaikolojia na wanahitaji msaada.
 
Itanichefulia wapi wakati niko busy na mambo yangu binafsi? Hata muda wa kukaa na kufikiria bila kukumbushwa kama hivi sina.
Lizzy Luu kumbe JF wanauza top za njano ..na bukta ya ku fanania lolz.
 
Ikimgusa mtu wako wa karibu
kama mtoto
bado hutajali anachokifanya akiwa kajifungia?

Pamoja na kwamba inasumbua binafsi sijali watu wazima waishivyo maisha yao. Sitaki kuwapangia namna ya kuishi kama ambavyo mimi sitaki kupangiwa namna ya kuishi.
 
Ikimgusa mtu wako wa karibu
kama mtoto
bado hutajali anachokifanya akiwa kajifungia?

Akiwa kafikia umri wa kujitegemea na anajitegemea basi itabidi tu nikubaliane na hali halisi ingawa itakuwa kwa shingo upande. Lakini kamwe sitamkana.
 
Embu kwenda huko. . .Si-LOL na wewe mpaka uniambie ile kitu.

Ni LOL mpaka na we ukiri ... in advance nuna kama ukitaka ... ulianza wewe mi nakusindikiza .. haya niambia kama una bukta ya njano.
 
Ni LOL mpaka na we ukiri ... in advance nuna kama ukitaka ... ulianza wewe mi nakusindikiza .. haya niambia kama una bukta ya njano.

Sina wala sitaki.
Njoo uniambie na mimi ntakwambia mpaka alichoniambia jana.
 
Me personally I like lesbos! They are so sweet when you get a chance to make love to them or watch them when they make love to each other!
 
Ndio maana hata mie nikasema
nitamsapoti sababu mie ni mzazi wake
ila wengine wakimtenga sitawalaumu.

Ni kweli huwezi ingilia maisha ya mtu
ila ukitaka jua kama unasapoti kitu au lah
hebu mvalishe uhusika mtu unayempenda
kuwa gay/lesbo inauma jamani lol

ila ndo utafanyaje mtu akishachagua hilo.

Akiwa kafikia umri wa kujitegemea na anajitegemea basi itabidi tu nikubaliane na hali halisi ingawa itakuwa kwa shingo upande. Lakini kamwe sitamkana.
 
Back
Top Bottom