Do You Support Gay Rights In Tanzania?

My opinion ni kwamba they should have the same right as everybody else (kuoa, kuzaa, kutobaguliwa na mengine)
Nasikitika sana ninapoona mtu competent kabisa anachukuliwa kirahisi just because he/she is an homosexual.
Ningependa serikali iwatambue na iweke sheria za kuziwia unyanyasaji wao
Pia ningependa sana kama leaders (religious, political) wangeacha kuwa-treat like mutants, devianats, psycho etc.
Upande mngine hii ni vita yao wenyewe, hakuna mtu atawapigania kama hawapigani wenyewe. stand up for your rights :peace:

how can u even be a mwali ,u are a lesbian. Lol u are screwed 4rever.
 
how can u even be a mwali ,u are a lesbian. Lol u are screwed 4rever.
Kama wewe ni mwanaume rijali umejuaje mimi lesbo? Au tunawindia same place? Kinachokuuma nini sasa? unaogopa competition ya maujuzi? Lol
Nyinyi mnao pinga kwa matusi ndio mashabiki wenyewe!
 
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Poverty, and Ignorance instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!

Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them

nawachukia sana hawa watu,nahisi they are demons
 
I have a few unanswered questions in my mind about you!
 
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Poverty, and Ignorance instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!

Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them

I do not support the so called 'gay rights'. Huu ni uchafu na ni dhambi kama dhambi nyingine zozote.
Hivi kweli mtu anaweza ku-support mambo haya kwa sababu yoyote ile????
Tuangalie mifano hii michache:-
  • Uasherati (hapa namaanisha mke au mume mwenye ndoa kwenda nje ya ndoa yake). Hapa pia kuna 'haki'??, na mtu anaweza kusema ana-support 'haki' za waasherati, maana ni watu wazima wanaofanya mambo yao ya uasherati 'in privacy' !!!!??
  • Watoaji mimba, nao ni watu wazima wanaofanya mambo yao 'in privacy' !! hawa nao wana 'haki' zao ambazo kuna watu wana-support 'haki' hizo ???!!!

Hebu tuone neno la Mungu linasemaje kuhusu hao watu walio 'gay'

01 Wakorintho 06:09-10 inasomeka hivi:-
"9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."
 
Rais mseven wa uganda ....Akasema magay africa wamekuwepo na wapo lakini maisha yao kwa tamaduni (zetu )africa ni private. Kifupi nakubaliana na Mseven
.
Hii nimeiacha kwa sababu ina ukweli ndani yake na kwa kiasi fulani tu ninakubaliana na MU7

ifike siku tuseme kuwa ni zamu ya gay kuwa rais, au kuwe na special rights ambazo kwa sasa hawazipati?
.

Tunaweza hata tusiseme kuwa "sasa ni zamu ya gay kuwa raisi", na bado tukawa na rais gay/lesbian. Iko siku tumesema "sasa ni zamu ya gay/lesbians kuwa wanajeshi, madaktari, walimu, wabunge...? Mbona wapo.

[/QUOTE]Kwa sasa masenge na masagaji yana haki kama matanzania mengine, hakuna haki ambayo straight Mtanzania anapata ambayo gay Mtanzania ananyimwa kisheria, labda kuoana[/QUOTE].
Hii inakubaliana na hicho nilichozungumza hapo juu.

[/QUOTE]Kama kweli itathibitika kuwa mtu ni in-born gay, na hakuna posibility ya kuwa straight hata kama anapenda, kama kuna kitu anapenda asizuiwe kisheria. Lakini kama mtu ni straight kwa kuzaliwa, halafu anafanya u gay kwa kujifunza, anakuwa anaenda kinyume na matarajio ya jamii.[/QUOTE].

Ni kusema mkuu unakubali kuwa wapo in-born gay na unawatetea "kama kuna kitu anapenda asizuiwe kisheria". Huyu akija kudai hadharani kuwa ni in-born gay na anataka kugombea urais, kuna sheria katika katiba yetu ya sasa inayomkataza?

[JFMP3]Ukiangalia hapa Tanzania utaona kuwa idadi kubwa ya magay wanatoka katika jamii fulani na maeneo fulani na makundi fulani, inabidi ujiulize kwa nini wengi wanatoka pwani zaidi, mbona bara ni mmoja mmoja sana? is it because wabara ni washamba au?[/QUOTE].

Alas! Kumbe bara wapo mmoja mmoja. Ilikuwaje? Au hawa mmoja mmoja wa bara ni in-born gays na wale wa pwani ni wa kujifunza?

Kama alivyosema The Boss na mtoa mada, tusichanganye baina ya gays rights na human rights, kama alivyosema MU7, ugay/ulesbo umekuwepo Afrika na ulimwenguni kote tangu enzi za mitume. Gays/lesbs, wawe wa kuzaliwa au kujifunza tunaishi nao mara nyingi bila ya kuwanyanyasa wala kuwakosesha "haki zao za kibinadamu" (ingawaje sikubaliani na hili la kuwa hatuwakoseshi kwani "tunawaruhusu wafanye kila" kitu ISIPOKUWA vile ambavyo tamaduni na dini vinavyohisi si haki zao.

Binafsi siwapingi, siwaogopi, siwabagui, siwadharau, kwani ninaamini katika haki ya binadamu kujichagulia namna ya kuishi, almuradi tu uchaguzi wake huo hauwaletei madhara wengine Na linapokuja suala la "kudai haki zao", sitoandamana nao kuwasaidia kudai lakini pia sitaungana na wale watakaowarushia mawe.
 
boflo hili sio jukwaa la kuwatangaza mashoga, kibiblia mashoga wanaitwa mbwa na mahanisi na mwisho wako na wao ni katika ziwa ziwakalo moto na kiberiti

i don't support and like to see gays if we can eliminate them in either way let us have them perished

hata gharika ya wakati wa Nuhu ilisababishwa na mashoga kukithiri duniani
 
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Poverty, and Ignorance instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!

Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them

moral principals must be protected as well, its our duty to do that, what two adults consents to do in the privacy of their bedroom should remain in there, no one would know, no one would care, why come out and campaign for constitutional rights outside of their rooms, No, not acceptable in our country and condemned to those countries upholding such satanic values
 
Back
Top Bottom