Do You Support Gay Rights In Tanzania?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Poverty, and Ignorance instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!

Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them
 
Kama una mtoto wa kiume
ambaye unatarajia akuletee mke siku moja upate na wajukuu
badala yake akakuletea mme
utajua kama usapoti ama lah.

As for me, i dont support that bila hata kuuma maneno.

Na mara nyingi mtoto akiwa gay/lesbian lawana nazirudisha kwa wazazi
nahisi kuna mahali walijisahau kumwelekeza mtoto
na katika mazingira ya Tanzania, wengi wanakuwa hivyo baada ya kuwa abused katika tender age.
 
ni afadhali kusikia fulani shoga
ambaye hakuhusu
lakini mtoto wako, mzazi, kaka/dada wa damu
ina-traumatize sana awe na miaka 14 au 41
uchungu ni ule ule ndugu.
 
hii kitu boflo umebugi balaa sababu huna mtu anaekuhusu ni gay au lesbos ungekuwa nae usingetetea hii dhambi..

au ushachukua mlungula wa daudi cameruni nini!
 
hii kitu boflo umebugi balaa sababu huna mtu anaekuhusu ni gay au lesbos ungekuwa nae usingetetea hii dhambi..

au ushachukua mlungula wa daudi cameruni nini!

Wewe unajua kwa uhakika usio na shaka kuwa huna mtu au watu wanaokuhusu ambao ni gay?
 
Mleta mada anaitwa Boflo.. Ambapo ni jina jingine kumaanisha mkate.. So ye mwenyewe ni chakula ya watu. Lazima awatetee magei wenzie.. Ushindwe na ulegee peleka mada zako huko kwenye mikutano yenu mnayofanyaga na waganda na kufadhiliwa na kamerun ili muunde asasi yenu ya kuwatetea.
 
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Malaria and paedophilia instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms! Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them!
1. If you don't care why start a thread?2. You mean I should not hate thieves since in the future my kids "gonna be among them"?3. You are just an empathy looking gay!!!
 
Nikiwa sisupport nikawaona njiani ntawapiga? Wakiishi jirani ntahama? HAPANA. . .hivyo sijali.
 
Nisapoti ili iweje sasa!?? Tutahukumiwa siku ya mwisho aise....na kuwa kuni za kuwachomea mwenzetu...hufi ila cha moto tu/utakiona.
 
Kama wewe ni ****** (gay) halafu unatafuta support ya wengine jua imekula kwako, nenda Kenya au S.A.

NB: Mod sijatukana hapo, ****** ndo neno halisi kwa kiswahili.
 
i dont support na natamani ipitishwe sheria ya kuwacchukulia hatua kwasababu zifuatazo.
Haya mambo tukiayaendekeza yafanywe hadharani yanazidi kuonekana ya kawaida. Mara party za mashoga, mara ndoa za mashoga hii imesababisha mashoga wengi kuongezeka kwasababu watoto wadogo wanaiga kutokana na jamii kutokemea.
hivi hamjiulizi swali mbona wasagaji na mashoga kipindi cha nyuma hawakuwa wengi kama sasa?
Jibu ni kwamba kipindi cha nyuma lilikuwa ni jambo la ajabu na jamii ingemtenga mtu anayefanya mambo hayo lakini sasa utawakuta ndo washehereshaji kkwenye kitchen party, utawakuta ndo waburudishaji kwenye kuumbi za starehe hii imefanya hata watoto wadogo wanaona haya mambo na hawaoni utofauti kati ya usagaji, ushoga na watu wengine.
My take ushoga na usagaji si jambo la kawaida katika jamii na ukitaka jua kuwa si kawaida, mwanao au mzazi au ndugu yako ushuhudie akifanya hicho kitendo ndio utajua kama ni ajabu au si ajabu yani ni heri umfumanie mzazi wako akisaliti ndoa na mwanamke mwingne au ndugu yako akiwa na mpenzi wa jinsia tofauti yake kuliko ........
 
Back
Top Bottom